Wewe na wewe wale wale tu. Ndio maana Mvuvi. Embu elimika uone kama utakua mvuvi...Mara nyingi mtu hujikuta hautambui unachohitaji hasa ni nini. Tangu mwez mtukufu umeanza wengi mnakuja na malalamiko ambayo hayaeleweki hasa mnahitaji nini.
kwamba mnalalamika kwa sababu ngozi nyeupe wanaruhusiwa kula hadharani na ninyi hamruhusiwi? kwamba ikitokea na ngozi nyeupe wakakatazwa kula hadharani bas hapo hamtalalamika tena?
Mkuu hichi ulichoweka ni nini...nataka uniwekee gazeti linaloonesha mtu amehukumiwa na mahakama zanzbar kwa kufunja sheria za waislamu mfano kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani sio haya ma pdf unayoweka ambayo hayana maana yoyoteKasome [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]View attachment 1109211
Ukiangalia kiukweli wewe unayekula chakula ndio unakuwa unayemfungisha mfungo kwa kumnyima asikione chakula ili afunge.Sababu akikiona chakula udenda unamtoka anataka kula.Wewe mwenye chakula ndie Ramadhani mwenyewe kwa kutomwonyesha chakula ndio unamfanya afunge.Kwa hiyo Kama Mungu anatoa thawabu inabidi awape wale waliokataa kupika chakula hadharani au kula chakula hadharani kwani ndio Akina Ramadhani waliofanikisha mfungo Sio wale waliofunga.Wewe mheshimiwa Ramadhani kumsaidia huyo afunge usile mbele yake.Anakutegemea wewe ili afunge uwe mwislamu au kafiri tegemeo lake liko kwako.Wewe ndie ramadhani wake
Sio uongo na video zipo watu wakipigwa kisa kula mchanaWakristo bwana!! Sasa hizi propaganda za uongo zinasaidia nini,??? Mbona sehemu za kula kwa wasio Waislamu ziko nyingi..
Ukenda Maisara sehemu moja inatwa CCM inapata chakula unachotaka..
Anyway, Zanzibar iko hivyo miaka nenda miaka rudi mbona Wakristo wazawa wa Zanzibar hawajalalamika!!!!?
Waislam huwa hawafungi, bali hula usiku badala ya mchana
Ili ushinde majaribu lazima ujaribiwe.kama hutaki kujaribiwa basi hujui dini.Ukiangalia kiukweli wewe unayekula chakula ndio unakuwa unayemfungisha mfungo kwa kumnyima asikione chakula ili afunge.Sababu akikiona chakula udenda unamtoka anataka kula.Wewe mwenye chakula ndie Ramadhani mwenyewe kwa kutomwonyesha chakula ndio unamfanya afunge.Kwa hiyo Kama Mungu anatoa thawabu inabidi awape wale waliokataa kupika chakula hadharani au kula chakula hadharani kwani ndio Akina Ramadhani waliofanikisha mfungo Sio wale waliofunga.Wewe mheshimiwa Ramadhani kumsaidia huyo afunge usile mbele yake.Anakutegemea wewe ili afunge uwe mwislamu au kafiri tegemeo lake liko kwako.Wewe ndie ramadhani wake
Bahati mbaya sina nakala yoyote ya hukumuMkuu hichi ulichoweka ni nini...nataka uniwekee gazeti linaloonesha mtu amehukumiwa na mahakama zanzbar kwa kufunja sheria za waislamu mfano kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani sio haya ma pdf unayoweka ambayo hayana maana yoyote
Kuna rafiki yangu huwa anakusanya pesa special kwaajili ya misosi ya ramadhani.Na ndio maana kipindi hiki wanatumia bajeti kubwa
Mkuu sheria mama siku zote ni katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania...na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo sheria zinazoiongoza tanzania si vingine achana na hizo by-laws....ndo mana nimekwambia kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani si kosa kisheria kama nikosa nipe mfano wa mtu aliyepelekwa mahakamani kwa kula mchana na uniambie alihukumiwa vipiZanzibar wana katiba yao na sheria zao.Zimetungwa na baraza la wawakilishi.
Waislam pia wanafunga kila leo achilia Ramadan zile wanaita Sunah kwani ulishasikia wanamkataza mtu kula mbele yao?Hutaki kupitia mazingira ya matamanio? Wakristu tunafunga kila Leo ukiachana na mfungo ule wa pasaka ushasikia tunaomba watu wasile mbele yetu?
AiseeKwahiyo hawataki kutamanishwa kula? Vipi kuhusu harufu ya vyakula? Watu wanapaswa kufunika masufuria ili yasitoe harufu?? Dini ya kishenzi sana hii! Kuna haja ya kufanya tathmini ya kuifutilia mbali!
Kuna bwana mdogo mmoja alikatwa panga la shingo saudi Arabia kwa sababu amesikiliza hip hop ya Rick Rose!!
Kama wanafunga ni mmoja kwa mln na tena wale wanaojua nini maana ya kufunga.Waislam pia wanafunga kila leo achilia Ramadan zile wanaita Sunah kwani ulishasikia wanamkataza mtu kula mbele yao?
Hivi hivi vinavunja kuni kama havina akili nzuri.mhn! we mtoto we vidole vya kupikia kuni hapo viko wapi?
Kwakweli hapa huwa nashindwa kuwaelewa maana wanapiga msosi wa maana tofauti na siku za kawaidaKuna rafiki yangu huwa anakusanya pesa special kwaajili ya misosi ya ramadhani.
Sawa dada yangu nimekuelewa acha mimi niishie hapa....Kama wanafunga ni mmoja kwa mln na tena wale wanaojua nini maana ya kufunga.
Kwa nini mwezi wa Ramadhani wanakataza sasaWaislam pia wanafunga kila leo achilia Ramadan zile wanaita Sunah kwani ulishasikia wanamkataza mtu kula mbele yao?
Huyu mungu wa waislam anayejua kiarabu tu, ninamashaka nae kwakweli. Na watu walivyo apumbavu wanaamini ete kiarabu ndo lugha ya mbinguni. Waislam wote mjiandae kwenda mbingu ya Kilombero au mbuguni na sio Mbinguni/ Peponi.Kijijini kwetu huko ibadi zinaongozwa hadi kinyakyusa na Mungu anajibu maombi kama mafuriko nakwambia.
Huyu ndiyo Mungu wa dunia, Mungu wa mataifa na Makabila yote.
Mwanzangu nani?Sawa dada yangu nimekuelewa acha mimi niishie hapa....
Msalimie sana mwenzio