Sunah ni hiyari sio lazima hivyo mtu anaweza kuamua kufunga siku anaona yupo mazingira mazuri bila kupishana/kukwazana na wengine....Kwa nini mwezi wa Ramadhani wanakataza sasa
Labda Ndo imani yao.Kwakweli hapa huwa nashindwa kuwaelewa maana wanapiga msosi wa maana tofauti na siku za kawaida
Sikuoni mida ya popo siku hizi nikajua umeshauaga upweke kwakupata mwenzioMwanzangu nani?
Hahahaha...Sikuoni mida ya popo siku hizi nikajua umeshauaga upweke kwakupata mwenzio
Kwa hiyo nyie hamruhusiwi kushirikiana na Wakristo?Acha kuandika uongo,mnasema chakula mnazuiwa kula,halafu wasema wapo waislamu wanakutuma chakula ukawanunulie,kwa hiyo wewe ni mtumwa wa waislamu,kazi kutumwa tumwa tu,na wauislamu.
Ni kukosa elimu tu wanaojitambua wala hawana time na kula ya mtu
Unaacha hotel za maana,unakwenda kula vichochoroni,kwenye vyakula visivyo na kiwango,kwa nini usikutane na wajanja wa mjini wakutishi tishe,mjini shule.Ugaidi huanza taratibu kama homa ya kichwa! Utashangaa wametega mabomu kwenye migahawa ya chakula!
Jamaa ni waroho sanaa. na unafiki mwingii. Maanaaa kama wewe umefunga na mwezio hajafunga inakuuma nini? . ukiona mtu anakula
Wewe ndio utakuwa hujielewi, nyumba za wageni,uliambiwa zimejaa,ulionekana umekaa kigaidi gaidi.Sio tu siku ya idd
Kuna siku yao kabla ya mfungo kuanza wanaita vunja chungu, hiyo siku nilijua baada kutoka safari kenya nikawa natafuta pakulala nilihaangaika sana cause vyumba vilikuwa vimejaa, driver taxi akanielezea hiyo siku ni ya vunja chungu
Nilisikitika sana
Sio wote ila kuna watu ni wanafiki sana
Kwahiyo hawataki kutamanishwa kula? Vipi kuhusu harufu ya vyakula? Watu wanapaswa kufunika masufuria ili yasitoe harufu?? Dini ya kishenzi sana hii! Kuna haja ya kufanya tathmini ya kuifutilia mbali!
Kuna bwana mdogo mmoja alikatwa panga la shingo saudi Arabia kwa sababu amesikiliza hip hop ya Rick Rose!!
Acheni kula ovyo ovyo,kama gendere,msiwe lege lege.Ukiangalia kiukweli wewe unayekula chakula ndio unakuwa unayemfungisha mfungo kwa kumnyima asikione chakula ili afunge.Sababu akikiona chakula udenda unamtoka anataka kula.Wewe mwenye chakula ndie Ramadhani mwenyewe kwa kutomwonyesha chakula ndio unamfanya afunge.Kwa hiyo Kama Mungu anatoa thawabu inabidi awape wale waliokataa kupika chakula hadharani au kula chakula hadharani kwani ndio Akina Ramadhani waliofanikisha mfungo Sio wale waliofunga.Wewe mheshimiwa Ramadhani kumsaidia huyo afunge usile mbele yake.Anakutegemea wewe ili afunge uwe mwislamu au kafiri tegemeo lake liko kwako.Wewe ndie ramadhani wake
Ahaa sasa nimekuelewa, kumbe wanakuwa wamelazimishwa ndio maana wanateseka sisi wengine tukilaSunah ni hiyari sio lazima hivyo mtu anaweza kuamua kufunga siku anaona yupo mazingira mazuri bila kupishana/kukwazana na wengine....
Ramadhani ni lazima sio hiyari hivyo inawalazimu kufunga ukiwa katika mazingira yeyote yale ndio maana unaona watu wanapishana/kwazana
Sio wakristo wote wanaofunga,ni wakatoliki tu.Halafu mnapofunga waislamu hawaendi maeneo mliopo,huwezi kusikia muislamu naenda maeneo ya wakristo wengi,kwenda kula.Hutaki kupitia mazingira ya matamanio? Wakristu tunafunga kila Leo ukiachana na mfungo ule wa pasaka ushasikia tunaomba watu wasile mbele yetu?
Wacha kumtetea,mwenzako,kakutana na vibaka,vichochoroni,wamempiga ngwara,ametiwa mjini,anakuja lia lia.Hiyo ndio faida ya kuacha hotel na kwenda kula vichochoroni,mbona wazungu,amewaona wapo hotel wanakula,bila bughdhaKitabu chao kinawambia wakifunga na wengine wasile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi unajua wakatoliki tu pekee ni nusu ya Watanzania wote?Sio wakristo wote wanaofunga,ni wakatoliki tu.Halafu mnapofunga waislamu hawaendi maeneo mliopo,huwezi kusikia muislamu naenda maeneo ya wakristo wengi,kwenda kula.
Unapigwa na vibaka,mji wowote ukioneka wakuja,mshamba mshamba,lazima utiwe mjini.Kule waenyewe wanajuana kwa ustaarabu na uvaaji wao,wakikuona huko kama wenyeji wa hapo,ndio vibaka wanakutia mjini.Sio uongo na video zipo watu wakipigwa kisa kula mchana
Nyie ni mikafiri.Kwa hiyo nyie hamruhusiwi kushirikiana na Wakristo?
Kwa hizi comments za humu, Mungu nisaidie niendelee kuijua kweli ya Mungu na kweli ikaishi ndani mwangu na kwa kizazi changu chote.