Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo


Tozi25, kwa hiyo Mbantu akilipa nauli kwa dola kwenda Unguja ataweza kula mchana kama mzungu?
 
Hata mimi najiulizaga pia, inapofika katika point peace
 
Nilishasema hizi dini zakuiga ni za kupiga marufuku afrika. Watu wana behave kama robots kisa dini pumbavu kabisa.
 
Nimecheka sana! Kweli vyote vya duniani ni vya mzungu...yaani mswahili mwenzio unamminya mzungu unamwachia...ni Tanzania yetu hii hii! Waafrika bado tuna safari ndeefu sana.
Tutafika Mkuu mdogo mdogo.
 
Pole sana nakushauri badili dini uwe huru
 
Likes 124 namimi nimeongeza ya 125
 
I don't care what anybody thinks but its outright wrong. Funga ipo moyoni.... funga sio dhidi ya njaa tu... ni kuonyesha restrains kutokana na matamanio.

Sasa nashindwa kuelewa. Nyumbani kuna watoto, ina maana hatuwapikii? Tunawashindisha na njaa ili tusitamani vyakula? Kuna watu wanategemea biashara ya kupika ili wakimu mahitaji yao na ya familia zao.....So wasipopika wanaishije?

We are becoming extremists... pretending to be so sensitive ili kuwa harass wenzetu. Hivi mfano Waislamu wa enzi hizi tungeambiwa tukapigane Al Badr na Sawm zetu si tungetoka nduki?

Acheni hizo bwana.
 
Sio uongo na video zipo watu wakipigwa kisa kula mchana
Video zinaweza zikawepo, lakini haina maana kuwa hamna sehemu ya kula mchana kwa wale wasio Waislamu..

Waacheni Wazanzibari na mila na utamaduni wao, acheni chokochoko, Chokochoko hazitasadia isipokuwa zitazidi kuleta chuki..

Zanzibar kuungana na Tanganyika isiwe Nongwa!!!!? Hupendi nini Wazanzibari wanafanya siku ya mwezi wa Ramadhani, basi bora Uhame Zanzibar kwa Muda uwaache Wazanzibari wafanye yao..
 
Kwa nini nipande daladala kwenda kula sehemu ya kula? Hoja iko hapo
Unaruhusiwa ikae kwako ule, marufuku ni kula hadharani, sio Wazanzibari wote wanafunga lakini huwakuti kula hadharani..

"They say when you are in Rome do like Romans do".. Jaribu kuheshimu mila na tamaduni za wengine ijapokuwa unaziona ni mbaya..
 
Kwahiyo dini inawaambia mkifunga amtakiwi kuona wengine wanakula?
Dini haikatazi mtu mwengine kula wakati wa ramadhani hata znz sio kama inakatazwa kwa sababu ya dini. Bali inakatazwa kwasababu ya 98% ya wazanzibari ni waislam, mfano ulaya hairuhusiwi waislam kuazini kwa kutumia kipaza sauti. Lakini wakristo wanatumia bell zao, na waislam wameheshimu hapo. Ingawa walikwenda mahakamani lakini mwisho walikubaliana kwa hilo. Narejea tena hapa sio dini imekataza ila serikali imeona wananchi wake 98% ndio waislam kwahio wamepewa kipao mbele zaidi ya 2%. Hapa usilaumu dini ilaumu serikali.


Nangatukaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Apa bongo wapo waislamu mbona awapendi kulalamika hovyo? Ww unataka dunia yote iende vile jins ww unataka? Nakshaur wacha kaz rudi om
 
Na matusi yote haya 'unayoserereka' na 'kutiririka' nayo hapa ndo upo kwenye 'so called mwezi mtukufu!

Kwanini umekubali kuwafanya waislamu wengine waonekane 'weupe' sana akilini kwaajili tu ya 'ujuha' wako?

Katika kila nafasi unayoipata ku comment unaingiza ushoga hata kama haukuzungumziwa, are you one of them?.... If so, did anyone tell you they're interested with your gay business?

Get lost please, the most hopeless idiot fella i have seen today
 
Huu muungano umeficha mambo mengi siku koti hili takatifu likivuliwa tutajua mengi yalijificha nyuma ya pazia
 
kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa
mkuu hapa umeamua kupotosha umma sijui kama ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
 
Nilishasema hizi dini zakuiga ni za kupiga marufuku afrika. Watu wana behave kama robots kisa dini pumbavu kabisa.
Wewe pumbavu wewe dini yako ni nini !?
Au dini yako ni kama hawa....
Your browser is not able to display this video.
 
mkuu hapa umeamua kupotosha umma sijui kama ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Wana chuki na inda juu ya Uislaam ! Nafsi zao zinawasuta wanajuwa kabisa hawana dini wamezama kwenye upotofu.
Walikuwa na funga yao ya ujanja ujanja inaitwa kwaresma. Haijulikani 'fajr wala maghrib'. Hakuna mtu kawauliza wala kasema na funga yao ya kitapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…