Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Tatizo huelewi uislam uislamu unasheria inayomsimamia mtu kutoka anapozaliwa hadi anakufa uislamu ni mfumo wa maisha uliokamilika tofauti na ukristo ambao hauna sheria bali ni mahusiano ya mtu na muumba wake kwa hiyo huwezi kufananisha hivyo vitu viwili ndio mana ukristo hauonyeshi muingikiano wa watu kukitokea sintofahamu wahukumiwe vipi bali ukristo unafuata sheria zilizotungwa na wanadamu wakati uislamu wanafuta sheria iliyoletwa na Mungu toka Tourati zaburi injili mpaka leo quran.hivyo huwezi kufananisha hivyo vitu viwili vipo tofauti kabisa
Hizo sheria ndio zimewafanya muwe wajinga, hamtaki hata kutafuta maaarifa zaidi!

Kufunga ni zaidi ya kuacha kula. Dini yenu ni ya kuhuni sana hii
 
Tunaongelea hoteli zinazotoa huduma za vyakula. Kama wana kibali cha kuoperate miezi mingine basi wana haki pia ya kuoperate mwezi wa Ramadhan. Narudia uarabuni hoteli zinazotoa huduma za vyakula hazifungwi kwani wanajua fika kuna wasio waislamu kibao na huo upuuzi hakuna.

Hivi ww umewahi kwenda nchi za kiarabu mwezi wa ramadhan, hivi ww umewahi kuona upuuzi wa vbanga vya migahawa vya ajabu ajabu huko nchi za kiarabu au unakulupuka tu
 
Cha ajabu mnajinasibu mnafunga mwezi mzima kutubu, cha ajabu dhambi zote mmezitamani mmeziweka kiporo mkisubiri mwezi uishe muanze kuzitenda.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siku ya idi gesti na lodge na majumba yote ambayo hayajaisha huwa yanajaa.
Wanaofanya biashara za kitimoto hiyo siku zinatoka kuliko kawaida.
Unafiki tuu.
Leo nlinunua zangu karanga mbichi nikawa natafuta kakaja kajamaa flani eti nipe kidogo si unajua bado siku 9 tufungulie! Nikasema hawa watu yule mungu wao aliwafunga ufahamu kabisa
 
Pamoja na kuwa kwenye mwezi mtukufu lakini bado unatukana? Dini ni propaganda za hapa dunia.
Dini ni sawa na ukabila na siku zote hakuna ugonjwa mbaya duniani kama Dini na Ukabila. Dini ni chanzo cha vita hapa duniani. Na mtu ukiabudu sana dini unakuwa sawa na kichaa. Naona unavyotukana kutetea dini yako. Sipati picha kama ungekuwa karibu hapo ungeua mtu au watu kwa kujilipua au kuwachinja watu.
Anayeamini dini itampeleka mbinguni ni mmoja wa watu wapumbavu sana ambayo hawajawi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Dini na ukabila ni mmoja wa ugonjwa mbaya sana zaidi ya hata UKIMWI
Dada ushawahi kuimba.taarab?

Kama bado usisite kuimba kipaji unacho.

Maana ulichoandika. hapa in taarab tosha.
 
Wakristo sio wote wanafunga Kwaresma,ni wakatoliki tu,madhehebu mengine ya kikirsto hawakubaliani na hii funga,tofauti na uislamu,kufunga Ramadhani ni madhehebu yote ya waislamu,na ibada zote karibia waislamu wanafanya pamoja,kwa madhehebu yote,bila utofauti

1.Kufunga Ramadhani ni waislamu wote
2.Kuhiji ni waislamu wote
3:Swala kwa vipindi vitano kwa siku ni waislamu wote.
4:Wakati wa kuswali wote wanaelekea upande mmoja
5:Swala ziko sawa,hazina tofauti.
6:Mavazi ya uislamu ,wanawake na wanaume ni ana moja,hakuna tofauti.
7:Ndoa na sheria zake hazina tofauti
8:Kitabu wanachofuata ni kimoja
9:Sikukuu za waislamu ni Eid,wote wanasherehekea
10:Mji wanaokwenda hija,ni Makka,wote wanakwenda huko.
Huelewi maana ya kufunga ndio maana unaona wengine hawafungi. Wakristo kufunga kwake siyo lazima kwaresma.
 
Hii sheria ya Zanzibar iko aya ipi? Na kwanini wageni wateseke kwa kukosa sehemu zilizo na hadhi ya wao kuweza kupata chakula?
 
Usinidanganye,hakuna anayelazimishwa kufunga,uislamu una utaratibu wake,ndio maana watu kama nyinyi msio na dini huwa mnaumia sana,mkiona uislamu Katika ibada zake zina utaratibu maalumu na sheria zake.Ni hii ndio imepelekea waislamu wa dunia nzima,kokote utakako kwenda,ibada zao ni,moja,ndio muislamu wa Tanzania,hata akienda Malasiya au Urusi au Ujerumani,hapati tabu ya kufanya ibada kwenye msikiti.Tofauti na wengine,utakuta kuna English service,Swahili service,nk.Kwa hiyo asiyejuwa kiswahili hawezi kuingia kwenye kanisa la kiswahili,na asiyejua kiingereza hawezi kuingia kanisa la kiingereza.Tumia akili,Tafakari,chukuwa hatua.
Kama hamlazimishi kwa nini mnawabughudhi wanao kula?
 
Aisee itakuwa wamepetuka mipaka Uislam sio dini ngumu kiivyo alafu sio lazima kufunga migahawa mwezi wa Ramadhani kwasababu sio Waislam wote wanafunga mwezi wa Ramadhani kuna wengine wameruhusiwa kufungulia kama Wasafiri, Wazee vikongwe, Wagonjwa, Wajawazito ma waonyonyesha pamoja na watoto wadogo ambao hawaja baleghe

Kinachotakiwa ni kukataza watu wasile ovyoovyo hadharani na hii haijalishi awe Mzungu au Mwafrika

Ikiwa haya uliyoyasema yanafanyika kweli basi ni Makosa Makubwa dini ya Kiislam haifundishi hivyo
Kabla hujasema chochote, fanyia uchunguzi/utafiti wa habari uliyoletewa tena umtizame ambae amekuletea habari kisha ndio useme baadae kwa kujua yakini ya mambo yalivo, ndugu zetu sio kama huwajui hao kwa kisingizio cha usawa wa kijinsia (kumbe wanakusudia kudhalilisha dada zetu)

Nafkiri tumeelewana
 
Sisi ibada zinaendeshwa kwa lugha inayoeleweka kwenye eneo husika.
Kuna wazee hawajui kiswahili kabisa hivyo ibada zinaendeshwa kwa lugha wanaoijua.

Akija mzungu pia kuna ibada itakayomfaa maana tunazo ibada zaidi ya moja . Na moja wapo itakuwa kwa lugha ya kiswahili.
Kwa maeneo ya mjini penye wageni wengi kuna ibada hadi ya kingereza kwa wale ambao hawajui kiswahili.

Haya Dini yenu inathamini wageni?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ukikuta mitoto yao inavyochapwa viboko kwenye mdrasa kukaririshwa kiaabu. Hadi huruma
 
Hizo sheria ndio zimewafanya muwe wajinga, hamtaki hata kutafuta maaarifa zaidi!

Kufunga ni zaidi ya kuacha kula. Dini yenu ni ya kuhuni sana hii


Mleta hoja yupo sahihi kabisa
Hakuna uhuru kwa wakristo zanzibar lakini cha kushangaza hata kwenye hizo hotel za maficho wanaoongoza kula ni hao hao waislamu.
Unawakuta na vibandiko vyao na mikanzu wamejaa huko chobingo wanakula. Highly hypocrite
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Uko vizuri Mkuu

mkuu hayo ndio maamuzi ya serikali ya zanzibar kwa kutumia mwamvuli wa kulinda tamaduni za kizanzibari ifikapo mwezi wa ramadhani, niliwahi kumsikia naibu waziri fulani akimjibu mwakilishi wa jimbo fulani akisema ya kwamba utamaduni huo upo zanzibar tokea mwaka 1964.

ukiangalia kwa kiasi kikubwa hoja hii iliwalenga zaidi wale vijana wa kiislamu wasiokuwa na utamaduni wa kufunga ramadhani haliyakuwa wana afya imara, ndio maana serikali inachukua maamuzi ya kuzifunga hoteli na migahawa ili kuwabana wasiofunga ramadhani wasipate chakula.

wanachosahau serikali ni kwamba zanzibar hawaishi waislamu peke yao na kadri siku zinavyosogea muingiliano wa imani visiwani zanzibar unazidi kuongezeka.
 
Kweli kabisa


Ila mi hapo kwenye bikra ntaomba nianze na ya mama wa Mungu wenu bikra maria

Niibanjue vizuri ikiwezekana nimzalishe mungu wenu wa pili mtakayemuabudu
Duuh!..
 
Umeeleza kivizuri sana,kama hawajakuelewa,hawatamuelewa mwingine yoyote.
BAK brother hii ishu tunakosea sana tunapoamua kuwasukumizia mzigo wa lawama waumini wa dini ya kiislamu wote kwa ujumla, kwa sababu hayo maamuzi ya kupiga marufuku kuuzwa kwa chakula nyakati za asubuhi hadi jioni ya saa 10 naamini ni maamuzi yanayotolewa na serikali tu bila ya kuwashirikisha waislamu japo kwa njia ya sampling.

ikiwa ofisi ya mufti mkuu nayo inahusika kwenye kadhia hii basi na wao watakuwa kwenye makosa kwa sababu mtume rehma na amani ziwe juu yake nyakati za uhai wake kwa nyakati tofauti aliweza kuishi na waumini wa imani tofauti (wakristo,mayahudi, wasioamini uwepo wa mungu a.k.a makafiri) lakini haijawahi kutokezea akaingilia uhuru wa imani zao hususani wakati wa ramadhani.

kwa serikali (zanzibar) inayojitapa kila siku haifungamani na imani yoyote ya kidini kwenye kuendeshwa kwake binafsi naamini inafanya makosa makubwa sana kujivisha joho la mamlaka ya kidini (uislamu) kwa kutumia muamvuli wa kulinda tamaduni za kizanzibari zinazopaswa kufuatwa na wote, kufanya hivi ni kuleta upendeleo kwa imani fulani.
serikali ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa mjini magharibi ilipaswa kuendelea kuonyesha msimamo wa kuwa neutrals kwenye ishu zozote za kidini huku ikihakikisha inazuia uvunjaji wa sheria kwenye matukio muhimu ya kidini yanaendeshwa na imani tofauti.

mimi ninapofunga na Khantwe asipofunga kula kwake hadharani hakuniathiri na chochote kwa sababu hata wakati wa funga muhimu ya ARAFA wapo wanaofunga na wasiofunga na hakuna tatizo linalotokezea.

lakini mkuu ukiangalia upande wa pili wa shilingi asilimia kubwa (95%) ya wanaoishi visiwa vya zanzibar ni waislamu, ni tofauti na mazingira ya huko Bara ambako kuna jamii kubwa yenye mchanganyiko wa kiimani tofauti, hivyo basi hata kama ingelitokezea serikali isingejivika muamvuli wa kidini wakati wa mwezi wa ramadhani basi hao raia wenyewe wangelijivika muamvuli huo wa uislamu wa ramadhani.

kwa mfano ukiangalia asilimia kubwa ya wafanya biashara za chakula visiwani zanzibar ni waislamu, vivyo hivyo asilimia kubwa ya wanunuaji wa chakula kwenye migahawa na madukani ni waislamu.

ikiwa wanunuaji wakubwa wapo kwenye mfungo je kuna mfanya biashara wa imani yoyote atakayekuwa tayari kula hasara ya biashara yake kwa mwezi mzima hususani kwa biashara za asubuhi (chai) na mchana(lunch)?

ndio maana kwa kuliona hilo wafanyabiashara wa chakula wakaamua kubadilisha mfumo wa biashara zao kwa kuepuka hasara yenye kuepukika, wafanya biashara wengi wa chakula kwa sasa wameelekeza biashara zao nyakati za jioni kwa sababu ndio muda ambao wanakutana na wateja wao wa kila siku wanaokutana nao kwenye miezi ya kula mchana hususani wale wasiokuwa na familia za kuwaandalia chakula kama muanzilishi wa hii thread au wale wanaocherewa kurudi majumbani mwao/kwao kwa sababu ya majukumu ya kikazi.

nitatoa mfano mwengine mdogo kwa yanayotokezea nyakati za sikukuu za iddi.​
ukija zanzibar siku ya iddi mosi ni ngumu sana kuwakuta wafanya biashara wa chakula wakifanya biashara zao nyakati za asubuhi na hata mchana, na hii ni kwa sababu wanunuaji wakubwa wa chakula hujumuika na familia zao kwa ajili ya kupata chai asubuhi na chakula cha mchana kwa watakachobarikiwa (most inakuwa pilau na biriani).

utamuuzia nani chapati, maandazi, keki, sambusa na vyenginevyo sikukuu ya kwanza haliyakuwa mteja wako atavipata nyumbani kwake/ kwao?

utamuuzia nani pilau au biriani nyakati za mchana sikukuu ya kwanza haliyakuwa wanunuzi wakubwa wanakula majumbani kwao/ mwao?

hivyo basi unakuta tabaka la wanunuzi linabaki lile lile lisilokuwa na familia za uhakika zitakazowawezesha kupata vyakula muda wowote wanaojisikia (tabaka hili ni chache), na bahati mbaya sana visiwani zanzibari majorities ya raia wanaishi majumbani mwao/ kwao pamoja na familia zao ambazo huwawezesha kupata chakula muda wowote wanaojisikia.

nimpe pole sana mleta mada kwa kadhia iliomkuta, namshauri kama ana uwezo atafute msichana muelewa atakayemlipa kwa huduma ya kupikiwa chakula au aishi pamoja na familia yake inapofika mwezi wa ramadhani ili kuepuka usumbufu wa kukumbwa na njaa, kama yote hayo hayawezekani basi ajiandalie chakula chake mwenyewe anapoishi.

sijafurahishwa na haya matusi yanayoelekezwa kwa waislamu wote kwa tatizo ambalo halijasababishwa na waislamu wote, hapa ninapoishi kwa takribani miaka 20 tumezungukwa na nyumba tatu za wakristo ambao tumewakuta mtaani na wazazi wao wapo tokea mapinduzi, tunaheshimiana, kusaidiana, tunapena mialiko ya sherehe mfano harusi kwa kila hali na haijawahi kutokezea kudhihakiwa kwao kwa sababu ya kula au kupika mchana,na ikifika krismasi/ pasaka wanasherehekea kwa uhuru bila ya vitisho vyovyote kutoka kwa majirani.

mara nyingi mgogoro mkubwa zanzibar uliopo dhidi ya watu wanaotoka bara ni ishu za siasa hususani mjadala wa muungano pamoja na uingiaji kiholela wa watu kutoka bara wanaokuja kutafuta ajira na si utofauti wa dini.

Religion is never the problem; it’s the people who use it to gain power. – Julian Casablancas
 
Jiandae swalat'l isha! ha ha ha ukifika siku ya kiama unagundua ulidanganywa! sijui utarudi kumalizia starehe au?
Wakuonewa huruma niwewe, mana kama starehe kweli ipo hapa duniani basi muislamu hajakatazwa kuifanya, ila ukiona kimekatazwa na uislamu basi ujuwe iyo sio starehe ni upuuzi tu na kujidhalilisha
Mfano: tizama ulevi(je ni watu wangapi wanadhalilika kisa ulevi, je ni watu wangapi wanapata maradhi ya kuhuzunisha kisa ulevi)

Tizama uzinifu (miongoni mwa njia inayosambaza kwa haraka HIV/AIDs basi ni zinaa mpaka ukabatizwa kua ni ugonjwa wa ZINAA)

Na mengine mengi yapo wewe mwenyewe unayafahamu kwenye nafsi yako..

NAKUONEA HURUMA UNAHADAIKA NA HAYA MAISHA MACHACHE YA STAREHE DHAIFU KABISA..
NAKUONEA HURUMA SIKU UKIRUDI KWA MUUMBA UKAKUTA HUNA ULICHOKITANGULIZA ZAIDI YA KUMPIGA VITA YEYE (Na yeye ameahidi adhabu KALI KABISA ISIYO NA MFANO tena YAMILELE HAINA MWISHO WALA KIKOMO WALA MAPUMZIKO kwa wale wote wanaompinga na kusimama dhidi yake)



BADILIKA MUDA UNAO BADO, WELCOME TO ISLAM, HII NDIO DINI YA SAWA..
HATUKULETWA DUNIANI BUREBURE


ALLAH AKUONGOZE KUIONA HAKI NA ATUONGOZE SOTE KUYAFATA YALE ALIYO AMRISHA NA KUACHA MAKATAZO YAKE...
 
Pamoja na kuwa kwenye mwezi mtukufu lakini bado unatukana? Dini ni propaganda za hapa dunia.
Dini ni sawa na ukabila na siku zote hakuna ugonjwa mbaya duniani kama Dini na Ukabila. Dini ni chanzo cha vita hapa duniani. Na mtu ukiabudu sana dini unakuwa sawa na kichaa. Naona unavyotukana kutetea dini yako. Sipati picha kama ungekuwa karibu hapo ungeua mtu au watu kwa kujilipua au kuwachinja watu.
Anayeamini dini itampeleka mbinguni ni mmoja wa watu wapumbavu sana ambayo hawajawi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Dini na ukabila ni mmoja wa ugonjwa mbaya sana zaidi ya hata UKIMWI
Mtu mbaya na gaidi,ni huyu aliyeanzisha uzi huu.Huu uzi ulikuwa hauna muhimu wa kuandikwa.Kwa vile wameshambuliwa waislamu,ndio uvhangiaji dhidi ya uislamu,umekuwa mkubwa,wakati zipo nyuzi zilizoandikwa zinawahusu wakristo lakini,hakuna hazikupata nguvu za kuendelea,hii ndio inaonyesha jinsi waislamu walivyo na ustaarabu.
 
Huyu mleta uzi ni muongo,ameandika mambo ya kutunga,soma vizuri uzi wake,kuna mahali ameandika aliona wazungu wanakula kwenye mahotel,sasa ikiwa wazungu wanakula kwenye mahotel,hii inadhihirisha wazi hakuna aliyezuiwa kula mchana Zanzibar.
Mie ninachopinga Mkuu ukiangalia kwenye kitovu cha uislamu kule Saudi Arabia upuuzi huu wa kufunga hotels mwezi wa Ramadhan haupo na nchi zote za Kiarabu UAE, Kuwait, Misri, Jordan, Qatar etc. Sasa iweje huko uislamu ulikoanzia hakuna huu upuuzi uliojaa dhambi wa kufunga mahoteli mchana wakati wanajua fika kwamba Zenj ina wageni wengi ambao si waislamu? Kwanini wakomolewe wakati wakiwa ugenini?
 
Back
Top Bottom