Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Umeandika porojo tu kuonesha ujinga wa hii dini yenu,

mzee kufunga ni zaidi ya kuacha kula mchana na kula usiku kama mnavyofanya.
Wewe hujielewi,hata nilichoandika hukielewi.Ni ujinga wako na dini uliyonao,ndio umekufanya usielewe kilichoandikwa.
 
Wakuonewa huruma niwewe, mana kama starehe kweli ipo hapa duniani basi muislamu hajakatazwa kuifanya, ila ukiona kimekatazwa na uislamu basi ujuwe iyo sio starehe ni upuuzi tu na kujidhalilisha
Mfano: tizama ulevi(je ni watu wangapi wanadhalilika kisa ulevi, je ni watu wangapi wanapata maradhi ya kuhuzunisha kisa ulevi)

Tizama uzinifu (miongoni mwa njia inayosambaza kwa haraka HIV/AIDs basi ni zinaa mpaka ukabatizwa kua ni ugonjwa wa ZINAA)

Na mengine mengi yapo wewe mwenyewe unayafahamu kwenye nafsi yako..

NAKUONEA HURUMA UNAHADAIKA NA HAYA MAISHA MACHACHE YA STAREHE DHAIFU KABISA..
NAKUONEA HURUMA SIKU UKIRUDI KWA MUUMBA UKAKUTA HUNA ULICHOKITANGULIZA ZAIDI YA KUMPIGA VITA YEYE (Na yeye ameahidi adhabu KALI KABISA ISIYO NA MFANO tena YAMILELE HAINA MWISHO WALA KIKOMO WALA MAPUMZIKO kwa wale wote wanaompinga na kusimama dhidi yake)

BADILIKA MUDA UNAO BADO, WELCOME TO ISLAM, HII NDIO DINI YA SAWA..
HATUKULETWA DUNIANI BUREBURE

ALLAH AKUONGOZE KUIONA HAKI NA ATUONGOZE SOTE KUYAFATA YALE ALIYO AMRISHA NA KUACHA MAKATAZO YAKE...
Unajua we mzee wa vipedo unanishangaza kitu kimoja, Lini na wapi nimesema nasapoti ulevi? ulevi ni mbaya na haufai, kunywa kinywaji kwa kiasi sio ulevi, na ndio maana Allah akasema ,"Kuluu wa asharabu, ala anta'l musrifuna" Kuleni na mnywe ila msifanye isirafu, sasa ndugu yangu unateseka nini? kunywa kiasi sio ulevi, huo ulevi ni haramu
 
Leo nlinunua zangu karanga mbichi nikawa natafuta kakaja kajamaa flani eti nipe kidogo si unajua bado siku 9 tufungulie! Nikasema hawa watu yule mungu wao aliwafunga ufahamu kabisa
Yaonyesha unakula kama ngedere,acha kula kula ovyo,kama gedere.
 
Mm nmekula mchana usiku sili na pumzika.. Wewe hujala mchana ila usiku wote huu utakula hadi unavimbiwa kisha unasema umefunga.
Uchizi wa muhamadi huu
 
Wewe umewahi kubughudhiwa?Wakati aliyeandika uzi,ameandika wazungu wanakula kwenye mahotel.Kwa nini yeye asiende kwenye hizo hotel na kula,na anaonekana ni mvivu wa kazi,ajitahidi afanye kazi apaye pesa za kwenda kula,kwenye sehemu zenye TBS,adile vichochoroni.
Kama hamlazimishi kwa nini mnawabughudhi wanao kula?
 
Mm nmekula mchana usiku sili na pumzika.. Wewe hujala mchana ila usiku wote huu utakula hadi unavimbiwa kisha unasema umefunga.
Uchizi wa muhamadi huu
Wewe ni chizi,hukielewi kama chizi,angalia uliyoandika,umeandika kichi chizi.Kama unapumzika usiku huli,ndio gedere wanavyopumzika usiku.
 
Wewe umewahi kubughudhiwa?Wakati aliyeandika uzi,ameandika wazungu wanakula kwenye mahotel.Kwa nini yeye asiende kwenye hizo hotel na kula,na anaonekana ni mvivu wa kazi,ajitahidi afanye kazi apaye pesa za kwenda kula,kwenye sehemu zenye TBS,adile vichochoroni.
Hata akila hadharani wewe ina kuathiri vipi?

Ndio maana tunawaambia hamfungi mnalazimisha kuacha kula mchana badala yake mnakula usiku
 
Wewe ni chizi,hukielewi kama chizi,angalia uliyoandika,umeandika kichi chizi.Kama unapumzika usiku huli,ndio gedere wanavyopumzika usiku.
Naona umeshavimbiwa cha saa 12 sasa unasubiri uvimbiwe cha alfajiri saa 11 ili mchana ujifanye umefunga
 
BAK brother hii ishu tunakosea sana tunapoamua kuwasukumizia mzigo wa lawama waumini wa dini ya kiislamu wote kwa ujumla, kwa sababu hayo maamuzi ya kupiga marufuku kuuzwa kwa chakula nyakati za asubuhi hadi jioni ya saa 10 naamini ni maamuzi yanayotolewa na serikali tu bila ya kuwashirikisha waislamu japo kwa njia ya sampling.

ikiwa ofisi ya mufti mkuu nayo inahusika kwenye kadhia hii basi na wao watakuwa kwenye makosa kwa sababu mtume rehma na amani ziwe juu yake nyakati za uhai wake kwa nyakati tofauti aliweza kuishi na waumini wa imani tofauti (wakristo,mayahudi, wasioamini uwepo wa mungu a.k.a makafiri) lakini haijawahi kutokezea akaingilia uhuru wa imani zao hususani wakati wa ramadhani.

kwa serikali (zanzibar) inayojitapa kila siku haifungamani na imani yoyote ya kidini kwenye kuendeshwa kwake binafsi naamini inafanya makosa makubwa sana kujivisha joho la mamlaka ya kidini (uislamu) kwa kutumia muamvuli wa kulinda tamaduni za kizanzibari zinazopaswa kufuatwa na wote, kufanya hivi ni kuleta upendeleo kwa imani fulani.
serikali ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa mjini magharibi ilipaswa kuendelea kuonyesha msimamo wa kuwa neutrals kwenye ishu zozote za kidini huku ikihakikisha inazuia uvunjaji wa sheria kwenye matukio muhimu ya kidini yanaendeshwa na imani tofauti.

mimi ninapofunga na Khantwe asipofunga kula kwake hadharani hakuniathiri na chochote kwa sababu hata wakati wa funga muhimu ya ARAFA wapo wanaofunga na wasiofunga na hakuna tatizo linalotokezea.

lakini mkuu ukiangalia upande wa pili wa shilingi asilimia kubwa (95%) ya wanaoishi visiwa vya zanzibar ni waislamu, ni tofauti na mazingira ya huko Bara ambako kuna jamii kubwa yenye mchanganyiko wa kiimani tofauti, hivyo basi hata kama ingelitokezea serikali isingejivika muamvuli wa kidini wakati wa mwezi wa ramadhani basi hao raia wenyewe wangelijivika muamvuli huo wa uislamu wa ramadhani.

kwa mfano ukiangalia asilimia kubwa ya wafanya biashara za chakula visiwani zanzibar ni waislamu, vivyo hivyo asilimia kubwa ya wanunuaji wa chakula kwenye migahawa na madukani ni waislamu.

ikiwa wanunuaji wakubwa wapo kwenye mfungo je kuna mfanya biashara wa imani yoyote atakayekuwa tayari kula hasara ya biashara yake kwa mwezi mzima hususani kwa biashara za asubuhi (chai) na mchana(lunch)?

ndio maana kwa kuliona hilo wafanyabiashara wa chakula wakaamua kubadilisha mfumo wa biashara zao kwa kuepuka hasara yenye kuepukika, wafanya biashara wengi wa chakula kwa sasa wameelekeza biashara zao nyakati za jioni kwa sababu ndio muda ambao wanakutana na wateja wao wa kila siku wanaokutana nao kwenye miezi ya kula mchana hususani wale wasiokuwa na familia za kuwaandalia chakula kama muanzilishi wa hii thread au wale wanaocherewa kurudi majumbani mwao/kwao kwa sababu ya majukumu ya kikazi.

nitatoa mfano mwengine mdogo kwa yanayotokezea nyakati za sikukuu za iddi.​
ukija zanzibar siku ya iddi mosi ni ngumu sana kuwakuta wafanya biashara wa chakula wakifanya biashara zao nyakati za asubuhi na hata mchana, na hii ni kwa sababu wanunuaji wakubwa wa chakula hujumuika na familia zao kwa ajili ya kupata chai asubuhi na chakula cha mchana kwa watakachobarikiwa (most inakuwa pilau na biriani).

utamuuzia nani chapati, maandazi, keki, sambusa na vyenginevyo sikukuu ya kwanza haliyakuwa mteja wako atavipata nyumbani kwake/ kwao?

utamuuzia nani pilau au biriani nyakati za mchana sikukuu ya kwanza haliyakuwa wanunuzi wakubwa wanakula majumbani kwao/ mwao?

hivyo basi unakuta tabaka la wanunuzi linabaki lile lile lisilokuwa na familia za uhakika zitakazowawezesha kupata vyakula muda wowote wanaojisikia (tabaka hili ni chache), na bahati mbaya sana visiwani zanzibari majorities ya raia wanaishi majumbani mwao/ kwao pamoja na familia zao ambazo huwawezesha kupata chakula muda wowote wanaojisikia.

nimpe pole sana mleta mada kwa kadhia iliomkuta, namshauri kama ana uwezo atafute msichana muelewa atakayemlipa kwa huduma ya kupikiwa chakula au aishi pamoja na familia yake inapofika mwezi wa ramadhani ili kuepuka usumbufu wa kukumbwa na njaa, kama yote hayo hayawezekani basi ajiandalie chakula chake mwenyewe anapoishi.

sijafurahishwa na haya matusi yanayoelekezwa kwa waislamu wote kwa tatizo ambalo halijasababishwa na waislamu wote, hapa ninapoishi kwa takribani miaka 20 tumezungukwa na nyumba tatu za wakristo ambao tumewakuta mtaani na wazazi wao wapo tokea mapinduzi, tunaheshimiana, kusaidiana, tunapena mialiko ya sherehe mfano harusi kwa kila hali na haijawahi kutokezea kudhihakiwa kwao kwa sababu ya kula au kupika mchana,na ikifika krismasi/ pasaka wanasherehekea kwa uhuru bila ya vitisho vyovyote kutoka kwa majirani.

mara nyingi mgogoro mkubwa zanzibar uliopo dhidi ya watu wanaotoka bara ni ishu za siasa hususani mjadala wa muungano pamoja na uingiaji kiholela wa watu kutoka bara wanaokuja kutafuta ajira na si utofauti wa dini.

Religion is never the problem; it’s the people who use it to gain power. – Julian Casablancas
Sunbae, kwanza pole...naomba utusamehe pale tulipokukwaza, waislamu wastaarabu kama wewe mnaponzwa na hawa wengine wasio na utu si ajabu hata uislamu wenyewe hawaujui ( wanaonekana hata kwenye huu uzi). Mimi pia kwa sehemu kubwa hili eneo ninaloishi na kufanya vijishughuli vyangu nimezungukwa na waislamu na sijapata shida yoyote ile ingawa yapo mambo ambayo nimejiongeza mwenyewe bila hata kuambiwa na mtu...kwa mfano nilizoea nikienda kijiweni kwetu nanunua vitafunwa naenda kunywa chai hukohuko sasa hivi sifanyi hivyo. Hapa nyumbani ninapoishi napatana na huyu muislamu kiasi kwamba huwa muda mwingine tunapika na kula pamoja, au naweza kupika natoka kwangu na msosi wangu naenda kukaa kwake ila sasa hivi napika ndani kwangu, nakula hukohuko nanawa mikono ndio natoka tunaendelea kupiga stori.
 
Pale CCM -Maisara walikuwa wanauza chakula, Mkuu wa Mkoa kaenda kupafunga.

Ajabu ni kwamba, mara zote nilizoenda kula St. Monica, Kambi ya Jeshi - Nyuki na hata hapo CCM nimekutana na Waislam wengi tu wakipata chakula.

Pia kwa observation nilizo fanya, heri Waislam wa Bara na funga yao kuliko hapa Zenji. Zenj unafki ni mwingi sana, ni watu wenye roho ya kwanini kwa ngozi nyeusi na sio kwa Mzungu.

Juzi nilikiwa Mkunanzini, kuna mzungu kanunua chakula pale Lukmaan na anakula huku anatembea wana muangalia tu na muda wa kufuturu ulikuwa bado, ila mswahili mwenzao hata ukishika chupa ya maji ni KESI.

Mitaa ya Raha Leo nimeona mtu akizongwa zongwa kisa yupo na mtoto anakula chakula nikabaki nashangaa hii ndio DINI YA MWENYEZI MUNGU KWELI ?
 
BAK brother hii ishu tunakosea sana tunapoamua kuwasukumizia mzigo wa lawama waumini wa dini ya kiislamu wote kwa ujumla, kwa sababu hayo maamuzi ya kupiga marufuku kuuzwa kwa chakula nyakati za asubuhi hadi jioni ya saa 10 naamini ni maamuzi yanayotolewa na serikali tu bila ya kuwashirikisha waislamu japo kwa njia ya sampling.

ikiwa ofisi ya mufti mkuu nayo inahusika kwenye kadhia hii basi na wao watakuwa kwenye makosa kwa sababu mtume rehma na amani ziwe juu yake nyakati za uhai wake kwa nyakati tofauti aliweza kuishi na waumini wa imani tofauti (wakristo,mayahudi, wasioamini uwepo wa mungu a.k.a makafiri) lakini haijawahi kutokezea akaingilia uhuru wa imani zao hususani wakati wa ramadhani.

kwa serikali (zanzibar) inayojitapa kila siku haifungamani na imani yoyote ya kidini kwenye kuendeshwa kwake binafsi naamini inafanya makosa makubwa sana kujivisha joho la mamlaka ya kidini (uislamu) kwa kutumia muamvuli wa kulinda tamaduni za kizanzibari zinazopaswa kufuatwa na wote, kufanya hivi ni kuleta upendeleo kwa imani fulani.
serikali ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa mjini magharibi ilipaswa kuendelea kuonyesha msimamo wa kuwa neutrals kwenye ishu zozote za kidini huku ikihakikisha inazuia uvunjaji wa sheria kwenye matukio muhimu ya kidini yanaendeshwa na imani tofauti.

mimi ninapofunga na Khantwe asipofunga kula kwake hadharani hakuniathiri na chochote kwa sababu hata wakati wa funga muhimu ya ARAFA wapo wanaofunga na wasiofunga na hakuna tatizo linalotokezea.

lakini mkuu ukiangalia upande wa pili wa shilingi asilimia kubwa (95%) ya wanaoishi visiwa vya zanzibar ni waislamu, ni tofauti na mazingira ya huko Bara ambako kuna jamii kubwa yenye mchanganyiko wa kiimani tofauti, hivyo basi hata kama ingelitokezea serikali isingejivika muamvuli wa kidini wakati wa mwezi wa ramadhani basi hao raia wenyewe wangelijivika muamvuli huo wa uislamu wa ramadhani.

kwa mfano ukiangalia asilimia kubwa ya wafanya biashara za chakula visiwani zanzibar ni waislamu, vivyo hivyo asilimia kubwa ya wanunuaji wa chakula kwenye migahawa na madukani ni waislamu.

ikiwa wanunuaji wakubwa wapo kwenye mfungo je kuna mfanya biashara wa imani yoyote atakayekuwa tayari kula hasara ya biashara yake kwa mwezi mzima hususani kwa biashara za asubuhi (chai) na mchana(lunch)?

ndio maana kwa kuliona hilo wafanyabiashara wa chakula wakaamua kubadilisha mfumo wa biashara zao kwa kuepuka hasara yenye kuepukika, wafanya biashara wengi wa chakula kwa sasa wameelekeza biashara zao nyakati za jioni kwa sababu ndio muda ambao wanakutana na wateja wao wa kila siku wanaokutana nao kwenye miezi ya kula mchana hususani wale wasiokuwa na familia za kuwaandalia chakula kama muanzilishi wa hii thread au wale wanaocherewa kurudi majumbani mwao/kwao kwa sababu ya majukumu ya kikazi.

nitatoa mfano mwengine mdogo kwa yanayotokezea nyakati za sikukuu za iddi.​
ukija zanzibar siku ya iddi mosi ni ngumu sana kuwakuta wafanya biashara wa chakula wakifanya biashara zao nyakati za asubuhi na hata mchana, na hii ni kwa sababu wanunuaji wakubwa wa chakula hujumuika na familia zao kwa ajili ya kupata chai asubuhi na chakula cha mchana kwa watakachobarikiwa (most inakuwa pilau na biriani).

utamuuzia nani chapati, maandazi, keki, sambusa na vyenginevyo sikukuu ya kwanza haliyakuwa mteja wako atavipata nyumbani kwake/ kwao?

utamuuzia nani pilau au biriani nyakati za mchana sikukuu ya kwanza haliyakuwa wanunuzi wakubwa wanakula majumbani kwao/ mwao?

hivyo basi unakuta tabaka la wanunuzi linabaki lile lile lisilokuwa na familia za uhakika zitakazowawezesha kupata vyakula muda wowote wanaojisikia (tabaka hili ni chache), na bahati mbaya sana visiwani zanzibari majorities ya raia wanaishi majumbani mwao/ kwao pamoja na familia zao ambazo huwawezesha kupata chakula muda wowote wanaojisikia.

nimpe pole sana mleta mada kwa kadhia iliomkuta, namshauri kama ana uwezo atafute msichana muelewa atakayemlipa kwa huduma ya kupikiwa chakula au aishi pamoja na familia yake inapofika mwezi wa ramadhani ili kuepuka usumbufu wa kukumbwa na njaa, kama yote hayo hayawezekani basi ajiandalie chakula chake mwenyewe anapoishi.

sijafurahishwa na haya matusi yanayoelekezwa kwa waislamu wote kwa tatizo ambalo halijasababishwa na waislamu wote, hapa ninapoishi kwa takribani miaka 20 tumezungukwa na nyumba tatu za wakristo ambao tumewakuta mtaani na wazazi wao wapo tokea mapinduzi, tunaheshimiana, kusaidiana, tunapena mialiko ya sherehe mfano harusi kwa kila hali na haijawahi kutokezea kudhihakiwa kwao kwa sababu ya kula au kupika mchana,na ikifika krismasi/ pasaka wanasherehekea kwa uhuru bila ya vitisho vyovyote kutoka kwa majirani.

mara nyingi mgogoro mkubwa zanzibar uliopo dhidi ya watu wanaotoka bara ni ishu za siasa hususani mjadala wa muungano pamoja na uingiaji kiholela wa watu kutoka bara wanaokuja kutafuta ajira na si utofauti wa dini.

Religion is never the problem; it’s the people who use it to gain power. – Julian Casablancas
You have my respect bro [emoji122][emoji122]
 
Kabla hujasema chochote, fanyia uchunguzi/utafiti wa habari uliyoletewa tena umtizame ambae amekuletea habari kisha ndio useme baadae kwa kujua yakini ya mambo yalivo, ndugu zetu sio kama huwajui hao kwa kisingizio cha usawa wa kijinsia (kumbe wanakusudia kudhalilisha dada zetu)

Nafkiri tumeelewana
Nimekuelewa Al-Akhy na mm sijakata moja kwa moja kuwa alichosema ni kweli ndio maana nikasema mwisho wa Post yangu kuwa Ikiwa haya uyesemayo ni kweli basi itakuwa wamefanya makosa Makubwa

Kimsingi Sijamswadikisha moja kwa moja maana Khabari zijaifanyia Ubainifu wake lakini tupo pamoja usijali
 
Pale CCM -Maisara walikuwa wanauza chakula, Mkuu wa Mkoa kaenda kupafunga.

Ajabu ni kwamba, mara zote nilizoenda kula St. Monica, Kambi ya Jeshi - Nyuki na hata hapo CCM nimekutana na Waislam wengi tu wakipata chakula.

Pia kwa observation nilizo fanya, heri Waislam wa Bara na funga yao kuliko hapa Zenji. Zenj unafki ni mwingi sana, ni watu wenye roho ya kwanini kwa ngozi nyeusi na sio kwa Mzungu.

Juzi nilikiwa Mkunanzini, kuna mzungu kanunua chakula pale Lukmaan na anakula huku anatembea wana muangalia tu na muda wa kufuturu ulikuwa bado, ila mswahili mwenzao hata ukishika chupa ya maji ni KESI.

Mitaa ya Raha Leo nimeona mtu akizongwa zongwa kisa yupo na mtoto anakula chakula nikabaki nashangaa hii ndio DINI YA MWENYEZI MUNGU KWELI ?
Hiyo ni dini ya '' mnya_azi mungu
 
Mpuuzi zaidi ni wewe muathirika wa ushoga. Umeharibu tamaduni zako kwakuwapenda wazungu na unataka na wengine wawe kama ninyi.
Mmeitwa Zanzibar? Huo ni utamaduni wao kila ukifika mwezi huo. Kama ilivyokwenu kudharau na kutukana kila asiye wa imani yenu.
Duh huyo Mkristo aliyezaliwa Zanzibar nae aliitwa?
 
Back
Top Bottom