Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
 
Na akila hadharani tatizo lipo wapi?
 
Mkuu wafanyie kama lilivyo jina lako "mtima nyongo" kula kama kawaida tu, sasa wafunge wao halafu mpate shida nyie, mbona mnawaendekeza sana hao watu nyie......... huku bara wakianza huo ujinga aisee watachakaa
watapigwa mpaka wakimbie
 
Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
Kwenye ukristo kuna masharti yake mfano kuna fidia ya ubatizo kama hujalipa unaweza kubatizwa?.
Kama ukiwa mlokole hivi Lutheran au wakatoliki watakusalia na kukuzika?
Kwa waislam wao hata uwe shia basi ukifa watakuzika tu hata uwe na dhehebu lipi utadhikwa tu. Kila sehemu na sheria yake usiifanye sheri kuwa njia ya ubaguzi.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

Miss aleesha, Naomba nikuambie kitu kimoja, ni kweli hakuna Mzanzibar aliewahi kumpenda mtu wa bara, ila hakuna Mnzanzibar alie bara anaetaka kurudu Zanzibar, nakueleza hayupo, hayupoo

Na ndio maana wanaotaka kujitenga ni wanzanzibar wa Nzanzibar bali sio Wanaoishi Bara

Hakuna mtu anataka mateso sasa hivi
 

nina ishi south africa huku dini ni yako mwenyewe hakuna anaye kubuguzi yani kitu kinacho hitwa haki ya binadamu huku wamekitendea haki.
mpaka muislamu kafunga lakini anauza mgahawa wake watu wanakula,huku kila mtu yupo huru [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…