Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Hebu acha upumbavu wa kutoka nje ya mada. Kinachojadiliwa hapa na ushoga wapi na wapi? Nyie ndiyo huwa mnafeli mitihani kwa upumbavu wa hali ya juu. Mjadala unahusu mtu kukosa sehemu ya kula kwa sababu tu ya Ramadhan na weye unaleta upuuzi wako usiohusu kitu kwenye uzi huu.

Nchi za kikristo zinazolazimisha ushoga kwakuwa kwao ni tendo takatifu hujaziona?
 
Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.

Mbona mahotel kibao tu tena bufe Poa kabisaa
 
Hebu acha upumbavu wa kutoka nje ya mada. Kinachojadiliwa hapa na ushoga wapi na wapi? Nyie ndiyo huwa mnafeli mitihani kwa upumbavu wa hali ya juu. Mjadala unahusu mtu kukosa sehemu ya kula kwa sababu tu ya Ramadhan na weye unaleta upuuzi wako usiohusu kitu kwenye uzi huu.
Mpuuzi zaidi ni wewe muathirika wa ushoga. Umeharibu tamaduni zako kwakuwapenda wazungu na unataka na wengine wawe kama ninyi.
Mmeitwa Zanzibar? Huo ni utamaduni wao kila ukifika mwezi huo. Kama ilivyokwenu kudharau na kutukana kila asiye wa imani yenu.
 
Wewe ni mpumbavu wa kutupa. Acha kurukia watu humu usiowajua kwa kujifanya unawajua. Huu uzi hauhusu ushoga lakini zwazwa wewe huelewi. Kama ungeona michango yangu kuhusu kuupinga ushoga usingeandika huu UPUUZI WAKO kama huna cha maana cha kuandika kuhusu mjadala husika kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Pimbi wewe.

Juha zaidi ni wewe usieheshimu imani za wengine. Unadhani kutukana utamtisha nani we nyumbu.
Nikujue inisaidie nini kwa mpuuzi kama wewe mwenye akili za kuendea chooni na kuvukia barabara tuu
 
tatizo hapa,hiyo ni desturi wamejiwekea wao wenyewe wananchi wa zanzibar,wana hofia wakilegeza desturi zao zittamezwa,kwa hiyo japo sheria yao haielekezi hivyo,bali wananchi wao ndo wanataka iwe hivyo,kama inakukera rudi nyumbani kumenoga
 
Back
Top Bottom