Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
M'mefunga kitapeli tapeli, wenyewe mnaita 'kwaresma' hakuna mtu kawasemesha humu. Baada ya Ramadhan Kareem kuanza tu, kihere here, maneno, uzushi hauishi humu JF ! Hivi mna nini Wagalatia !?
 
wANAJIITA WAMEFUNGA ILA daku WANALIAMKIA SAA 10 usiku...Funga yao ni ya Kunywa maji tu tena kwa masaa 12 ila kazi kutesa wengine.
Hiyo mnaita 'kwaresma' haina taratibu wala kanuni wala sheria. Ni uhuni uhuni tu na ujanja ujanja ! Eti unaacha kunywa bia unasema nimo kwenye mfungo wa kwaresma ! Kafiri ni kafiri tu
 
Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
Natamani uwatukane zaidi wanakera mno kwa hii tabia.
 
Ni ujinga tu wanafunga kinafiki ili waomekane wacha Mungu kumbe mishetan tu
Kwann wazuie watu wa Imani zingine wasile? Kufunga kwao inanihusu nin mimi?
Nyie.mlipofunga kwaresma mlikuwa wayakatifu si ndio !? Eti mnafunga kula nyama ! Hivi mtakuwa serious lini ? Kila kitu mizaha tu.
 
Back
Top Bottom