TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
kama unaona shida sepa,rudi bara, malalamiko ya nini,? umeikuta jamii ya huko ikiwa na taratibu zake,sasa wew unataka kuleta taratibu zako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje Tanzania sasa ?!
Zanzibar ni Koloni la Tanganyika kwa koti la muunganoKumbe Zanzibar sio Tanzania
Kama ni kweli basi wazenji ni wapuuzi kiwango cha PhD.Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Ukiwa umefunga na ukamuona mtu anakula wewe unaathirika nini?Mara nyingi mtu hujikuta hautambui unachohitaji hasa ni nini. Tangu mwez mtukufu umeanza wengi mnakuja na malalamiko ambayo hayaeleweki hasa mnahitaji nini.
kwamba mnalalamika kwa sababu ngozi nyeupe wanaruhusiwa kula hadharani na ninyi hamruhusiwi? kwamba ikitokea na ngozi nyeupe wakakatazwa kula hadharani bas hapo hamtalalamika tena?
Kwenye ukristo kuna masharti yake mfano kuna fidia ya ubatizo kama hujalipa unaweza kubatizwa?.
Kama ukiwa mlokole hivi Lutheran au wakatoliki watakusalia na kukuzika?
Kwa waislam wao hata uwe shia basi ukifa watakuzika tu hata uwe na dhehebu lipi utadhikwa tu. Kila sehemu na sheria yake usiifanye sheri kuwa njia ya ubaguzi.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ile ni wilaya kelbu wewe !Ule ni mkoa wa tz shwain
Kuruhusu ngozi nyeupe kula na kukataza nyeusi kula ni jambo moja na kukataza mtu ambaye hajafunga kula ni jambo jingine, na hii ndo sehemu uislamu unakofeli sana kama diniMara nyingi mtu hujikuta hautambui unachohitaji hasa ni nini. Tangu mwez mtukufu umeanza wengi mnakuja na malalamiko ambayo hayaeleweki hasa mnahitaji nini.
kwamba mnalalamika kwa sababu ngozi nyeupe wanaruhusiwa kula hadharani na ninyi hamruhusiwi? kwamba ikitokea na ngozi nyeupe wakakatazwa kula hadharani bas hapo hamtalalamika tena?
Mapovu yameanza kuwatokaHamia bara
Nenda walipo wazungu na wewe ukale huko very simpleMazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Siasa ndio iliyowanya Wazanzibari wawe wabaguzi, inatakiwa ujue kuwa Ukristo umeanzia Zanzibar ndio ukafika Tanganyika..Poleni sana
Ila hawa watu wabaguzi jamani