Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Noted[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Halafu unakuta hata iftar wanalia vyumbani, hata jioni na usiku migahawa inafungwa, ukibahatika kupata sehemu ya kula unajificha kama vile unavuta bangi, ukweli ni kuwa Wazanzibari ni wabinafsi sana.
 
Kuruhusu ngozi nyeupe kula na kukataza nyeusi kula ni jambo moja na kukataza mtu ambaye hajafunga kula ni jambo jingine, na hii ndo sehemu uislamu unakofeli sana kama dini
Wazungu wanavalishwa kanga sehemu zisizokuwa za Watalii, hapa Unguja,..

Kuhusu kula Wazungu wako tafauti wao moja kwa moja wanakuwa wanaheshimu itikadi, mila na tamaduni wa sehemu wanazokwenda kutalii..
 
pika mwenyewe home ule au nenda maeneo yaliyotengwa kwa watu kama nyie kula usilazimishe watu wauze chakula wakati wapo ktk swaumu. pia hamna wateja ndio maana mama lishe hawauzi
 
Nimeshindwa kwenda honeymoon Zanzibar kwa sababu hii...
 
muwe mnachukua likizo ili msikwazike wala kuwakwaza wenzenu...
NENDENI MAKWENU MKALIME EBOO!!!
 
Mkuu wafanyie kama lilivyo jina lako "mtima nyongo" kula kama kawaida tu, sasa wafunge wao halafu mpate shida nyie, mbona mnawaendekeza sana hao watu nyie......... huku bara wakianza huo ujinga aisee watachakaa
Cha ajabu hapa Oman tunajilia tu popote na hakuna akuulizae
 
Acha kuropoka vitu usivyovifahamu, mapema kabla ya mfungo kuanza mkuu wa mkoa wa mjini magharibi aliamuru bar, mahotel na mama ntilie wote kusitisha kutoa huduma kipindi chote cha ramadhani isipokuwa kwa hoteli za kitalii tu. Tena alisema ni MARUFUKU
 
Duh.
 
Vumilieni tuu hakuna namna.Kazi ndio inayokupa mateso hayo.Huku bara mbona shida hizo hazipo?Kwani kufunga ni lazima au ni hiari?Na kwa nini funga ya mwingine impe shida mtu mwingine?
 
pika mwenyewe home ule au nenda maeneo yaliyotengwa kwa watu kama nyie kula usilazimishe watu wauze chakula wakati wapo ktk swaumu. pia hamna wateja ndio maana mama lishe hawauzi
Ni kweli kabisa hamna wateja, wauza kitimoto nao wanalalamika biashara mbaya, wanatamani wafungue hata kesho ili biashara ya kitimoto irudi kwenye peak
 
Ni kweli kabisa hamna wateja, wauza kitimoto nao wanalalamika biashara mbaya, wanatamani wafungue hata kesho ili biashara ya kitimoto irudi kwenye peak
huo mtazamo wako nenda Zenji kauze kitimoto chako mwanaharam mkubwa wewe hamtafaulu kunasibisha uislam na kitimoto ni wakristo tu ndio wanakula najisi hiyo ingawa bible inakataza
 
Ni kweli kabisa hamna wateja, wauza kitimoto nao wanalalamika biashara mbaya, wanatamani wafungue hata kesho ili biashara ya kitimoto irudi kwenye peak
Kwanini wakristo huwa mnasema waislamu hula kitimoto?

Kwa taarifa yako muislamu hata kama haswali swala tano au hafungi Ramadhan kamwe huwa hafanyi mambo yafuatayo:-
1.Kula nyamafu(hapa anaweza hata kukutoa uhai ukimlazimisha)
2.Kula nguruwe.
Muislamu yupo tayari kuacha kila kitu katika Uislamu ila hivyo vitu viwili kamwe huwa hawaviachi.

Propaganda ya wakristo kuhusu hili suala huwa inachekesha sana eti wanakwambia 'mwezi mtukufu biashara ya kitimoto haiendi kabisa'

Hata walaji wa kitimoto wenyewe ukifika mwezi mtukufu huwa hawaendi bar kula kitimoto!

Na maeneo wanayoishi waislamu wengi hata kumuona nguruwe tu ni nadra.
Binafsi nimekuja kumuona nguruwe 'live' nikiwa na miaka kama 15 au 16 hivi.Nilikuwa sijawahi hata kumuona.
 
Tafadhali usiusemee moyo wa mtu, ninawafahamu waislam kadhaa wanaokula hiyo kitu, tuulize sisi tunaokula tunakutana nao wapi. Wewe km hutumii uwezi kujua kwasababu hauendi sehemu inakopatikana.
BTW kwenye watu kumi mliokubaliana kufanya au kutokufanya jambo fulani lazima atatokea mmoja au zaidi atakayeenda kinyume na makubaliano. Hata kwa wakristo, kuna watu wanaeshimika sana makanisani lkn unakuja kusikia alikuwa anafanya mambo ya kihuni sana hadi unashindwa kuamini ni yeye au anasingiziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…