Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Haya ni ya kweli 100% mm nayafaham vizuri sabab niko visiwani huku huu mwaka wa 9. Mwanzo nilipata shida, ila sahizi nishazoe.
Serikali ya mapinduzi ya znz ni tofauti na serikali ya jmt.
Huku wana sheria zao na Haya yanayofanyika yana baraka za serikali 100%
 
Ukweli usiosemwa ni kwamba hao mabwana wazanzibari wamemezwa na wabara so kwa kutumia mwezi huu mtukufu wanaamua kusumbua wabara maana wanajua wapo huko ndio unasikia hiyo mikwara sijui chakula kisiuzwe ila kihalisia ni unafiki tu hawana lolote nunueni gas mpikie vyumbani kuepuka adha ya hao wanafiki
 
Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
Wewe ndo mshamba unataka upite unakula kula hovyo kama mbwa koko, basi tu ufanyie watu kejeli na maudhi ! Kafiri weweh
 
Wasipokuelewa kwa huu ufafanuzi, basi watakuwa na agenda zao BINAFSI.
 
Hakuna dini yenye watu wenye roho za kikatili kama ya kiislam!
 
Halafu mtu anahisi anatafta pepo eti...
Pepo ya unafiki nna uhakika hawana wema wowote zaidi ya wivu tu kwa watu wenye uwezo wa kununua chakula hali ngumu inajulikana nchi nzima ila watu wanatumia mwamvuli wa ramadhani kujifanya itikadi kali ilhali wanabana matumizi haiwezekn kufunga ufunge wewe akila mtu mwingine inakuhusu nini boya wewe?
 
Waislamu wa bara na zanzibar ni tofautu?? Mbona wa huku wanavumilia tukila hadharani?? Tena wengine ndio wanatuuzia chakula kwenye migahawa
Nenda kariakoo ukaone migahawa ilivyofungwa. Maduka yote (ya Waislaam) hawauzi maji wala soda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…