Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Kuna mpemba yuko morogoro pale hataki hata kupasikiia kwao
 
Usitetee ujinga mkuu hilo la kulazimishana ni uzwazwa funga wewe na moyo wako upate thwawabu akila mtu mwingine wewe inakuhusu nini? Acheni upuuzi bwanaa
 
wanafiki sana
 
Kwakweli wewe ni muislamu unaejielewa sana mkuu. Hongera kwa hilo, natamani waislamu wengine waige mfano wako.
Mkuu kuna mijamaa imeingia dini alafu inaingiza tabia zao binafsi na kusingizia eti ni taratibu za dini, dini inatutaka tufunge na funga ni miongoni mwa nguzo 5 za uislam na muongozo hausemi tushurutishe watu kufuata tunachotaka watu tulofunga.
 
Huna hoja ya msingi mkuu swala ni kwamba zanzbr wanafeli huwez kuweka sheria kutetea huu ungese kwamba ni marufuku mtu kula hadharani
 
Mara nyingi waletaji mada za kuwachonganisha waislamu na wakristo sio wakristo wala sio waislamu,ni watu wasiokuwa na dini kama wewe mleta mada.Katika uislamu,wapo waislamu wameruhisiwa na dini ya kiislamu wasifunge katika mwezi wa Ramadhani kama
1.Wanawake waliojifunguwa hivi karibuni
2.Wanawake wanaonyonyesha
3.Wagonjwa
4.Watoto wadogo
5.Wasafiri
Kwa hiyo wataka kutumbia huko Zanzibar hakuna waislamu wenye matatizo hayo?Ambao wanakula mchana ila ni wakristo tu,katka Zanzibar nzima.Wacha unafiki wewe sio mkristo,ni mtu usiye na dini.
 
Pumba kabisa, yani ela yangu, halafu nipangiwe cha kufanya, mfano kama njaa imeniuma halafu nimenunua chakula tegeta na mimi ninakaa mbagala, nitoe nauli nipande gari nikale nyumbani kwangu mbagala, halafu nitoe tena nauli nirudi kazini tegeta kuendelea na kazi, kisha jioni tena nipande gari kurudi nyumbani.

kisa mmefunga, hasa funga yenu mimi inanihusu nini, kama nikila hadharani wewe unapungukiwa nini kama ni kutamanishwa chakula kwani lazima unione nikiwa nakula.

Ujinga ujinga ujinga mzigo
 
nina ishi south africa huku dini ni yako mwenyewe hakuna anaye kubuguzi yani kitu kinacho hitwa haki ya binadamu huku wamekitendea haki.
mpaka muislamu kafunga lakini anauza mgahawa wake watu wanakula,huku kila mtu yupo huru [emoji23]
Si huru, ugalatia umejaa huko ! Huko hata Kariakoo migahawa imefunga
 
Waislamu bwana, yaani wanataka kile wanachokiamini kila mmoja akiamini pia. Tena kwa nguvu!
Huyu aliyeleta huu ,uzi sio mkristo,ni mtu anataka kuchonganisha waislamu na wakristo.Ndani ya uislamu wapo waislamu wanaruhusiwa,kutokufunga kwa dharura mbali mbali,kama.
Ugonjwa
Uzazi
Watoto wadogo
Wasafiri
Hawa wote watakuwa Zanzibar hakuna ?
 
Ficha upumbavu wako, mtu aache kukaa kwake nje na kula kwa raha kisa tumefunga? Huo ni upumbavu.
Nimezaliwa kwenye dini lakini huu ujinga sikuwahi kufundishwa wala kuuona kwetu
Anakula nje ili iweje !? Wacha ulofa wako wa akili, pumbavu mwili mzima wewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…