Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Waislam hawafungi wanabadilishaga Muda kula tu badala ya kula mchana wanakula usiku.

Unafuturu saa 1 jioni (sawa na breakfast)

Unakula daku saa 4 usiku (Sawa na Lunch)

Unakula daku saa 10 alfajiri (hii chakula cha usiku) [emoji16][emoji16] hapa umefunga nini? Kama sio kuibiana.

Ukifunga ndani ya saa 24 kula mara moja tu, hio ndio kujiweka ndani ya nadhiri. Ila hii yakushindilia chakula masaa mawili kabla ya wafanyakazi kunywa breakfast waende kazini unasema umefunga kumbe umekula alfajiri ni mbwembwe
 
Hamna lolote, wanakula na wanakuwa na shibe ya maana. Wanajizuia kula kati ya sunrise na sunset after that wanafutuka
Mbona kwenye kwaresima nyie m'meshindwa ! Eti unaacha kjla nyama kisha unasema umefunga !? Wagalati m'merogwa na nani ?
 
U
Mkuu kuna mijamaa imeingia dini alafu inaingiza tabia zao binafsi na kusingizia eti ni taratibu za dini, dini inatutaka tufunge na funga ni miongoni mwa nguzo 5 za uislam na muongozo hausemi tushurutishe watu kufuata tunachotaka watu tulofunga.
Uko sahihi 100% mkuu.
 
waache wao watajua wenyewe hata wakila usiku mzima.imani ya mtu iache hivyo hivyo
 
Hakuna dini yenye watu wenye roho za kikatili kama ya kiislam!
Inashinda ile Dini walimuwamba mtoto wa mungu msalabani !? Eti halafu wanajisifu amewakomboa. Wanakunywa damu yake (kama mavampire) na kula nyama yake (mwili)
 
Umenifurahisha, umeamua kuwapa makavu live.
 
Huu upuuzi wako wa kukosa dini (upagani/ushenzi) unatakiwa ukome mara moja !
Hahaaaah huwezi kunilazimisha mimi kuwa na dini....dini zenyewe hizi si mmeletewa na wazungu....sheria ya nchi yetu inaruhusu mtu kuwa mpagani,muislamu or mkristo...mimi nikiwa mpagani inakukera wewe nini...mimi kula mchana inakukera wewe nini na wewe si ule...mkuu mimi nafanya chochote nachojiskia ili mradi sivunji sheria za nchi.....nikiamua kula kitimoto wewe yanakuhusu nini....nini kinakukera na kwanini uteseke mkuu
 
Hivi hizi mada za kiuchonganishi zitakwisha lini? Maana yanayoongelewa ni kinyume na uhalisia na bado watu wanaamini, na wengi wa wanaoamini ni wale ambao Zanzibar wanaisikia kwenye radio. Hata kama ni kufinga katika mwezi mtukufu wa Ramadhan lakini kwa wale ambao sio dini yao haiwapasi kufungishwa kwa lazima na wala sheria haiwabani kula kwao ila inatakiwa staha kwa wenyeji au wenye mji husika. Sasa naona kuna wachafuzi ambao kazi yao ni kuchafua imani za wenzao then wao wanakaa pembeni kuangalia mchuano wa watu wanavyorushiana maneno humu. Dah
الجنونو فنونو!
 
@BAK kuna watu wengine hawastahili hata kujibiwa, kwanza nchi gani ushoga unalazimishwa?
 
Aseeee Kwel iyo ndiooo Zanzibar wanajikut dini kal alaf amna kitu iv Kwel umnyime mtu kula kisa ww umefunga.......wengi wao uko awafung ni kushnda njaaa tu
 
Lakin ni mtu kaandk kulichomkut ajgombanish mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…