Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper
Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa madogo kama vile majina ya kitambulisho cha NIDA kutofautiana kidogo na Yale ya shuleni na kuzaliwa , majina kukosewa kuandikwa katika Cheti au kitambulisho , jina lako kukosewa,
Wengine kutobeba Cheti cha la Saba, Kwa Wale walipoteza vitambulisho kutokubeba loss reporti, na mengineyo mengi
Ilikuwa ni kilio lakini hatuna jinsi tunamwachia MUNGU licha ya kubembeleza Wale majina yetu kukosewa kidogo ktk vyeti watusaidia alafu baada ya pepa ya written tutarekebisha lakini walikataa Kata Pia hta Wale wenye affidavit wlikataa mpka dupol ya mahakama au mwanasheri hivyo basi tumeumia
Kwa sasa inabidi tupambanae hizi kasoro tuzifanyie kazi