Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper

Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa madogo kama vile majina ya kitambulisho cha NIDA kutofautiana kidogo na Yale ya shuleni na kuzaliwa , majina kukosewa kuandikwa katika Cheti au kitambulisho , jina lako kukosewa,

Wengine kutobeba Cheti cha la Saba, Kwa Wale walipoteza vitambulisho kutokubeba loss reporti, na mengineyo mengi

Ilikuwa ni kilio lakini hatuna jinsi tunamwachia MUNGU licha ya kubembeleza Wale majina yetu kukosewa kidogo ktk vyeti watusaidia alafu baada ya pepa ya written tutarekebisha lakini walikataa Kata Pia hta Wale wenye affidavit wlikataa mpka dupol ya mahakama au mwanasheri hivyo basi tumeumia

Kwa sasa inabidi tupambanae hizi kasoro tuzifanyie kazi
 
Cheti Cha la Saba wanakitaka??
 
Cheti la saba cha kazi gani sasa[emoji2][emoji2].

Mimi sijawahi kukifata huko nilikosoma
 
Hivi la saba wanatoaga vyeti maalum vinavyotambulika na NECTA Au mdau unatupiga?
 
Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper

Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa madogo kama vile majina ya kitambulisho cha NIDA kutofautiana kidogo na Yale ya shuleni na kuzaliwa , majina kukosewa kuandikwa katika Cheti au kitambulisho , jina lako kukosewa,

Wengine kutobeba Cheti cha la Saba, Kwa Wale walipoteza vitambulisho kutokubeba loss reporti, na mengineyo mengi

Ilikuwa ni kilio lakini hatuna jinsi tunamwachia MUNGU licha ya kubembeleza Wale majina yetu kukosewa kidogo ktk vyeti watusaidia alafu baada ya pepa ya written tutarekebisha lakini walikataa Kata Pia hta Wale wenye affidavit wlikataa mpka dupol ya mahakama au mwanasheri hivyo basi tumeumia

Kwa sasa inabidi tupambanae hizi kasoro tuzifanyie kazi
So sad
 
affidavit ndio nini mkuu na inapatikanaje??

au Deedpoll maana mimi pia ni victim kwa hili swala [emoji3064]
Affidavit Kama mfano kwenye cheti cha kuzaliwa unaitwa pau bae na vya elimu unaitwa pau montanna ni hati ya utambulisho ya kukubali majina yote ni yako

Fika mahakamani au ofisi yeyote ya mwanasheria na msimbazi wako unaipata

Deed pol ni kwamba kwenye cheti cha kuzaliwa na pau bae na vya elimu ni pau montane hivyo basi nalikataa jina la pau bae nataka nijulikane na jina moja tuu pau Montana hiyo ndio deep pol unabidil jina

Fika mahakamani au kwa mwanasheria atakupa utaratibu utaenda ofisi ya msajili ardhi utalipia pia kuipata ni after 3 days I guess na gharama zake kubwa kidogo

Sasa hapo wewe utachagua which is which kwa matakwa yako
 
Back
Top Bottom