Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

Akikujibu unistue Mkuu
 


Sio kila siku anapata laki 3. Ikitokea siku imeenda vizuri akapata wateja 10 ndio inafika hiyo. Kumbuka Kuna siku pia hapati mteja hata mmoja
 

Sio kila siku anapata laki 3. Ikitokea siku imeenda vizuri akapata wateja 10 ndio inafika hiyo. Kumbuka Kuna siku pia hapati mteja hata mmoja
 
Muwe makini nae,ndugu yako kama biashara inaambatananishwa na mambo mabaya,wewe kujua ni vigumu,ila watu baki,hujua.Isije ikawa hiyo ni biashara yake mojawapo.
Naona ushamuongezea wateja

Sio kila siku anapata laki 3. Ikitokea siku imeenda vizuri akapata wateja 10 ndio inafika hiyo. Kumbuka Kuna siku pia hapati mteja hata mmoja
 
Tulia anataka vijana wajiajiri kwa kulima
 
Sio kila siku anapata laki 3. Ikitokea siku imeenda vizuri akapata wateja 10 ndio inafika hiyo. Kumbuka Kuna siku pia hapati mteja hata mmoja

Ukimaliza kusoma hii comment yangu, tafuta fimbo chapa sana huyo cute! Narudia piga stick za kutosha atakueleza ukweli wote! Anajulikana vzr tu huyo cute na kawaongopea vibaya sana! Hizo 600k followers zinamfanya ajulikane na apate sponsors! Kuna conve zake ukitumiwa leo hii hii utaenda kumueleza ajitoe huko haraka sana na fimbo juu! Pole mzee uncle kwa kuingizwa cha kike!
 
Nakazia sana hii
 
Mkuu tulia ujifunze. Wekeza kwenye digital skills inalipa sana. Ukipatia niche/mada mfano blogging ikikuwa unaweza kutengeneza ata billion kwa mwaka yaani kwa mwezi ukalipwa million 100+. Jifunze pata exposure nenda nje ya bara la Africa uone utofauti ukirudi hutokua kama ulivyokua. Asante
 
Usitumie nguvu kubishana nenda tiktok tumia feki Account, weka picha za kifahari uonekane una pesa afu zama inbox kwa mjomba mtu muulize swali moja tu
'how much for a single night at my hotel.?'
Akikujibu screenshot uje utupe mrejesho. Mwanachuo wa kike mrembo aliye busy mitandaoni sio wa kumuamini hata akiongea ukweli.
 
Kwa blogs sikatai japo nayenyewe sio nyepesi kihivyo maana wanaojua ni wengi especially wazungu ambao ngeli inapanda na wana resource nyingi zinazowapatia content za kutosha bila kusahau vitendea kazi camera kali, vacation za hapa na pale wanapoenda kupatia content international.
Nimeshawahi kupata hiyo course full, mtandaoni ila baada ya kuimaliza nikaelewa kwa mazingira ya kibongo na mwanachuo anayetegemea boom, au graduate ambay hata hela ya bando mtihani uhalisia ni mchache sana wenzetu kule internet is almost free. Afu ukiwaona kwenye blog picha wanaweka ya passport ila hawa madogo tiktok ni kujibinuabinua tu akikaa vibaya tu mpaka nyapu unaiona, hatukatai mtandaoni pesa zipo ila wa dogo zetu wanamawindo yao tofauti na bloggers.
 
Umemaliza, asipokuelewa basi tena anafaidika na posho za uncle, anaogopa kujua ukweli uncle hela anavozipata
 
Kupata pesa sishangai wala sipingi Lakini kufikisha followes LAKI 6 siyo issue ndogo labda alikuwa atuma video vya .....mpaka kufikisha hao laki 6.

Wabundu watu laki 6 ni wengi sana kuna wasanii maarufu sana unakuta ana milioni 3 au 7.

Sasa mtu wa kawaida huna jambo la ziada kufikisha laki 6, hongera zake
 
Wewe hiyo 100M unaipata??

Maana inaonesha hili chaka unalijuwa tobo la pesa kwa kina je wewe unazipata.

Naunga hoja digital programme zina pesa lakini siyo rahic sana kihivo.

Usione akina Ayo Tv wamefika pale wamepambana.

Katika hizi hizi digital unazosema pesa ni kuchukua tu, lakn tumeshuhudia wafanyakazi wa

ITV
STAR TV

Wakilalamika kutokulipwa mishahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…