Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok


Hana jina kubwa ila ana upuuzi mwingi sana huko tik tok. Wanamuita dada kiwigi.. huyo dogo ni mcheshi kweli kweli anaongeaa kama mzaramo. Ndio maana tik tok kapata sana ma followers
 
Apambane tu
 
Siyo kweli, na inawezekana hujui hizi platform zinavyofanya kazi ambapo your income depends on followers, view count, content type or both
 
Huko kuna pisi moja ya Nairobi inaitwa Njoki Murira. Hiyo tu basi...Njori Murira nimesema
 
huko only fans wanauza misambwanda ?
Kama analo Tako na sura nzuri onlyfans ndio kwenyewe.

Kwa kifupi Ile ni kama porn site/content platform ma porn stars wengi wamehamia huko baadala kusubiria deals za makampuni ya porn.

Lakini pia sio lazima awe porn star kule Kuna watengeneza content za mlengo mbalimbali

Mfano mapishi, mapambo, fashion n.k.

Social media watu wanatengeneza Hela sana kirahisi tu.
 
30k per challenge then ana boda boda, vifaa vya salon, simu kali, na vitu vingine πŸ€” kuna mtu hapo kasema za kuambiwa changanya na zako. sawa mjomba
 
Unadhani sijui digital skills.


Unajibu usichojua


Nimesema hakuna mtu Tanzania anaelipwa laki 3 Kwa siku Kwa kupost nyimbo za wasanii. Unakuja kujibu upuuzi mwingine.
 
Kanat*mbesha hako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…