Wanaosema maneno kama hayo ukija kwenye uhalisia wa maisha yao utacheka, haha
Adela kawaambia hapo hapo, hajataka unafki, hakuna mtoa hela hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaosema maneno kama hayo ukija kwenye uhalisia wa maisha yao utacheka, haha
mara kisoga 😂Mara vipipi🤣
Hadi vibarafu🤣mara kisoga 😂
mara mgagani😂Hadi vibarafu🤣
Hehehe. Nguvu za kike nazo zinatafutwa jamani kwa udi😂mara mgagani😂
Kwa mwanaume kuwajibika kwenye mambo ya muhimu iyo haiepukiki lakini kama objectives za uko kuwajibika ni kupewa mbususu basi huo ni ujinga sio wajibu tena.Wanaume kuwajibika muhimu lasivyo ndio mnaelekea kubaya..
Mambo ya muhimu kwako kwa mwenzio yanaweza yasiwe muhimu & vice versa.Kwa mwanaume kuwajibika kwenye mambo ya muhimu iyo haiepukiki lakini kama objectives za uko kuwajibika ni kupewa mbususu basi huo ni ujinga sio wajibu tena.
Acheni hizooooo lo!
Suala la mwanaume kuanza kuomba sex linatokana na malezi yetu tu waafrika. Sio rahisi mwanamke amwambie mwanaume moja kwa moja kwamba anataka sex isipokua mna indirect ways zenu kuwasilisha hisia then mwanaume ajiongeze na iyo haimaanishi ya kwamba mwanaume ndie muhitaji zaidi ndio maana kuna malalamiko mengi tu ya wanawake kwamba awaridhishwi na wanaume wao ingekua sex kwenu sio kipaumbele mnafanya tu kumpa favor mwanaume basi haya malalamiko yasingekuwepo.
Ninachoongelea mimi sex iwe mutualy pleasure sio determinant factor ya mwanamke kutaka pesa/matunzo kutoka kwa mwanaume. Achana na sex jiulize katika mahusiano yako una variable output ipi, that is what am talking about.
Wewe kama mtu mzima unajua kwa ujumla mambo ya muhimu ni yepi.Mambo ya muhimu kwako kwa mwenzio yanaweza yasiwe muhimu & vice versa.
Tia neno mkuu. Tupo hapa kugawana uzoefu na maarifa.Umepika sana humu mwanangu, natamani nichangie ila kwa leo nitakaa kimya, haha.
Sawa.Sasa kwani nyie ukitoa hela nini kingine mnatupa sasa…
Unakuta show yenyewe mbaya tunawapakapaka mafuta
Yaani kila mtu anatoa kitu wewe unatoa pesa mimi natoa papuchi so Hakuna ambae anatoa zaidi
Tena wakati mwinginee hata hiyo sex hatuenjoy ni vile tu mnalazimisha tuwape yaani tunafanya ile tuwafurahishe tu tunaenjoy mara chache sana
tena ni gharama hawajui tuHehehe. Nguvu za kike nazo zinatafutwa jamani kwa udi😂
Ha haaa mwizi apigwe tu ila nisishuhudie..sina ujasiri huoIla wewe nae kichwa sana, una mawazo mazuri na very positive. Unaweza hata kumtetea mwizi aliyeiba Tandale asipigwe na wananchi wenye hasira kali.
Nafikiri ulikataa ku-sex na hao wanaume kwasababu walikuwa hawana muonekano ambao unakuvutia. kadogo2Mimi nishaachwa na wanaume 5 wote nilikataa sex kwao na sikuwai kuwaomba hata mia mbovu
Kiufupi nyie ndio mnataka sana hiyo sex na Hakuna mwanamke Miaka hii atakubali umle bila kumuhudumia
Ndo afue na kupika sasa kama ulivokuwa unapinga.....Kama hana shughuli yoyote na umempenda akiwa hivyo unategemea atoe nini kukupa wewe?
Sijapinga yeye kufua na kupika. Afanye hivyo akitaka na wewe mpatie pesa ya mafuta ili next time aje anang'aa zaidiNdo afue na kupika sasa kama ulivokuwa unapinga.....
Hahahah eti mafuta .....siyo nina shida na laki mbili, siyo baba anaumwa kijijijini, siyo nadaiwa mkombozi benki, asa, vikoba, marejesho ya kikundi, niongezee hela nikanunue simu macho matatu, naomba nikopeshe laki tatu kama huna azima kwa rafiki zako, Kodi imeisha na hapa nilipo sina hata Mia, naomba nauli niende kwetu Tanga kwenye arobaini ya msiba wa ndugu yetu........🤣🤣🤣Binafsi nimeamua kufuta michepuko yote 7 nilokuwa nayo baada ya kujikomboa mapema kwa kustuka na kutambua kwamba hakuna reward yoyote katika kuwahudumia wanawakeSijapinga yeye kufua na kupika. Afanye hivyo akitaka na wewe mpatie pesa ya mafuta ili next time aje anang'aa zaidi