Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

Wanaume kuwajibika muhimu lasivyo ndio mnaelekea kubaya..
Kwa mwanaume kuwajibika kwenye mambo ya muhimu iyo haiepukiki lakini kama objectives za uko kuwajibika ni kupewa mbususu basi huo ni ujinga sio wajibu tena.
 
Kwa mwanaume kuwajibika kwenye mambo ya muhimu iyo haiepukiki lakini kama objectives za uko kuwajibika ni kupewa mbususu basi huo ni ujinga sio wajibu tena.
Mambo ya muhimu kwako kwa mwenzio yanaweza yasiwe muhimu & vice versa.
 
Suala la mwanaume kuanza kuomba sex linatokana na malezi yetu tu waafrika. Sio rahisi mwanamke amwambie mwanaume moja kwa moja kwamba anataka sex isipokua mna indirect ways zenu kuwasilisha hisia then mwanaume ajiongeze na iyo haimaanishi ya kwamba mwanaume ndie muhitaji zaidi ndio maana kuna malalamiko mengi tu ya wanawake kwamba awaridhishwi na wanaume wao ingekua sex kwenu sio kipaumbele mnafanya tu kumpa favor mwanaume basi haya malalamiko yasingekuwepo.

Ninachoongelea mimi sex iwe mutualy pleasure sio determinant factor ya mwanamke kutaka pesa/matunzo kutoka kwa mwanaume. Achana na sex jiulize katika mahusiano yako una variable output ipi, that is what am talking about.

Sasa kwani nyie ukitoa hela nini kingine mnatupa sasa…

Unakuta show yenyewe mbaya tunawapakapaka mafuta

Yaani kila mtu anatoa kitu wewe unatoa pesa mimi natoa papuchi so Hakuna ambae anatoa zaidi

Tena wakati mwinginee hata hiyo sex hatuenjoy ni vile tu mnalazimisha tuwape yaani tunafanya ile tuwafurahishe tu tunaenjoy mara chache sana
 
Sawa.
 
Ila wewe nae kichwa sana, una mawazo mazuri na very positive. Unaweza hata kumtetea mwizi aliyeiba Tandale asipigwe na wananchi wenye hasira kali.
Ha haaa mwizi apigwe tu ila nisishuhudie..sina ujasiri huo
 
Mimi nishaachwa na wanaume 5 wote nilikataa sex kwao na sikuwai kuwaomba hata mia mbovu

Kiufupi nyie ndio mnataka sana hiyo sex na Hakuna mwanamke Miaka hii atakubali umle bila kumuhudumia
Nafikiri ulikataa ku-sex na hao wanaume kwasababu walikuwa hawana muonekano ambao unakuvutia. kadogo2
 
Sijapinga yeye kufua na kupika. Afanye hivyo akitaka na wewe mpatie pesa ya mafuta ili next time aje anang'aa zaidi
Hahahah eti mafuta .....siyo nina shida na laki mbili, siyo baba anaumwa kijijijini, siyo nadaiwa mkombozi benki, asa, vikoba, marejesho ya kikundi, niongezee hela nikanunue simu macho matatu, naomba nikopeshe laki tatu kama huna azima kwa rafiki zako, Kodi imeisha na hapa nilipo sina hata Mia, naomba nauli niende kwetu Tanga kwenye arobaini ya msiba wa ndugu yetu........🤣🤣🤣Binafsi nimeamua kufuta michepuko yote 7 nilokuwa nayo baada ya kujikomboa mapema kwa kustuka na kutambua kwamba hakuna reward yoyote katika kuwahudumia wanawake
 
Back
Top Bottom