Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

N

ndugu acha ujinga. watu tunakufa na gwanda zetu za kijani.. afu wewe unaongea hivyo kirahisi!? 2015 kuna baadhi ya maeneo ili tupite salama tulivaa gwanda za CDM. Leo anaula aliyetutukana hadharani!?
hii ni ngumi ya taya,knockout
Kumbe mmeniquote uzi wa mwaka 2017, imebidi nifunge mwanzo wa uzi nione!!!!
 
mwenyekiti aweke wazi mapato na matumizi yatakanayo na pesa za ruzuku, akumbuke zile ni pesa za walala hoi. alafu chama chetu ni cha demokrasia iweje atawale kwa zaidi ya miaka 20? sie vijana tunazungushwa mikono tu wakati wakubwa wakitafuna kuku...... wanatufanya mafala leo wanatuambia fisadi kesho wanataka tumuite mheshimiwa.
 
Hoja ya kijinga sana ! hivi unajua utajiri wa Bilionea Mbowe we masikini ? au unaiga tu wanavyoandika mbumbumbu wenzio ?
 
Utabaki unavaaa manguo ya Kijani wenzako wanateuliwa na ulikuwa ukiwaita Wapinzani sasa unaita Mkuu Mkuu
 
Hii ni mbinu ya kubomoa upinzani ili watu makini washawishike kuhama kwa tamaa ya vyeo.
 
umemuweka na Lolepole kama msaliti kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…