mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kuna mmoja anaitwa agustino chamwanga yeye hadi namba ya Sim anaweka lkn dah mpaka SasaYote kheri maana hakuna geni chini ya jua
Anapigika tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja anaitwa agustino chamwanga yeye hadi namba ya Sim anaweka lkn dah mpaka SasaYote kheri maana hakuna geni chini ya jua
Bora Magufuli kuliko Membe.2020 tutakutana kwa membe
N
ndugu acha ujinga. watu tunakufa na gwanda zetu za kijani.. afu wewe unaongea hivyo kirahisi!? 2015 kuna baadhi ya maeneo ili tupite salama tulivaa gwanda za CDM. Leo anaula aliyetutukana hadharani!?
Kumbe mmeniquote uzi wa mwaka 2017, imebidi nifunge mwanzo wa uzi nione!!!!hii ni ngumi ya taya,knockout
Kweli Lizabon muda mrefu hapatikani jukwaani sijui kasusa kwa kukosa teuzi!Lizaboni na kundi lake wameamua kujiondokea zao .
Hoja ya kijinga sana ! hivi unajua utajiri wa Bilionea Mbowe we masikini ? au unaiga tu wanavyoandika mbumbumbu wenzio ?mwenyekiti aweke wazi mapato na matumizi yatakanayo na pesa za ruzuku, akumbuke zile ni pesa za walala hoi. alafu chama chetu ni cha demokrasia iweje atawale kwa zaidi ya miaka 20? sie vijana tunazungushwa mikono tu wakati wakubwa wakitafuna kuku...... wanatufanya mafala leo wanatuambia fisadi kesho wanataka tumuite mheshimiwa.
Utabaki unavaaa manguo ya Kijani wenzako wanateuliwa na ulikuwa ukiwaita Wapinzani sasa unaita Mkuu Mkuumwenyekiti aweke wazi mapato na matumizi yatakanayo na pesa za ruzuku, akumbuke zile ni pesa za walala hoi. alafu chama chetu ni cha demokrasia iweje atawale kwa zaidi ya miaka 20? sie vijana tunazungushwa mikono tu wakati wakubwa wakitafuna kuku...... wanatufanya mafala leo wanatuambia fisadi kesho wanataka tumuite mheshimiwa.
Kuna mmoja anaitwa agustino chamwanga yeye hadi namba ya Sim anaweka lkn dah mpaka Sasa
Anapigika tu
Ova
Kweli Lizabon muda mrefu hapatikani jukwaani sijui kasusa kwa kukosa teuzi!
Hoja ya kijinga sana ! hivi unajua utajiri wa Bilionea Mbowe we masikini ? au unaiga tu wanavyoandika mbumbumbu wenzio ?
Chama cha wasaliti
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Julius Mtatiro , Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole , Wilbrod Slaa , Ibrahim Lipumba ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Vipi kuhusu wanaccm waliokipigania chama chao ?Hii ni mbinu ya kubomoa upinzani ili watu makini washawishike kuhama kwa tamaa ya vyeo.
umemuweka na Lolepole kama msaliti kivipi?Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Julius Mtatiro , Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole , Wilbrod Slaa , Ibrahim Lipumba ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
nadhani sasa utaelewaumemuweka na Lolepole kama msaliti kivipi?
Tuendelee.....na mimi najitoa na kuhamia chama cha wanyonge aka ccm kwa sharti lazima niwe mgombea wa ubunge.Tuendelee au tusiendeleee ?