Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

KAMANDA HAPO KWENYE " THE TIME IS NOW" INGE TAKIWA IWE "TIME IS NOW" LOL
 
Tuendelee.....na mimi najitoa na kuhamia chama cha wanyonge aka ccm kwa sharti lazima niwe mgombea wa ubunge.

Kiinua mgongo changu chote na mshahara uliobakia lazima wanipe wote
BARIKIWA SANA WEWE NI AKILI KUBWA
 
Kama wapo walipo kutokana na kupigania chama, fikiria wakijinyofoa kwenye chama watakuwa na hali gani with reference kwa wale PMs wawili wa kutokea Northern Zone.
 
Tuendelee.....na mimi najitoa na kuhamia chama cha wanyonge aka ccm kwa sharti lazima niwe mgombea wa ubunge.

Kiinua mgongo changu chote na mshahara uliobakia lazima wanipe wote
Nafasi za ubunge zinauzwa na polepole , anao wagombea wake mfukoni
 
Kama wapo walipo kutokana na kupigania chama, fikiria wakijinyofoa kwenye chama watakuwa na hali gani with reference kwa
wale PMs wawili wa kutokea Northern Zone.
Hakuna ushahidi wowote wa Lowassa na Sumaye kuwahi kuipambania ccm , masikini ndio wanaohangaika
 
Hawa Ni wageni,lazima tuwapokee vizuri ili wajisikie wako nyumbani,sisi ccm Ni wakalimu Sana na tunsonyesha kwa vitendo kwa kuwaenzi Hawa mashujaa waliojitoa upinzani na kurejea kuja kuunga mkono juhudi za kuleta mahendeleo.
 
Jikite kwenye saccos yenu wewe inazidi potea. Achana na sisiemu.
 
Makamba alijidai kusimamia ushindi wa CCM 2015 lakini leo Waitara anaonekana wa Maana kuliko yeye....

Cc Mwigulu Nchemba
Tafuteni njia nyingine ya kuomba huruma ya uvccm. Ni wazi bavicha mmeshindwa sasa mnaomba huruma eti kuwataka sisiemu wengine waone wamewekwa kando waungane nanyi?
sahauni, hiyo meli yenu iliyoyoboka muichomelee wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…