Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

Kuna la kujifunza hapa. Shukrani sana mkuu.

Umeweka mtangazo mtaani au wanatokea mtandaoni?
Natumia mitandao kujitangaza
Na Mara nyingi wale niliowahudumia wanakuwa mabalozi wazuri Sana wa biashara yangu , imagine unamuhudumia mtu mmoja ambaye amepanga nyumba yenye wapangaji 10 na wote wanatumia gesi ,
Siku hao wengine wakihitaji Kubadilisha gesi lazima huyu niliyemuhudumia awaambie "mpigie huyu kaka atakuletea"[emoji1]
 
Hongera sana mkuu kufanikiwa kubadili Mteja kuwa balozi wa biashara yako.

Hii Kitu inawashindaga wafanya biashara wengi sana.

Sababu kuu ikiwa ni kukosa Uaminifu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Niko na duka la vyakula, pale Mtaani kwetu kuna maduka 6 mimi niko na baskeli nawapa namba wateja wakitaka kakitu nawapelekea naenda kuchukua pesa hata kama chumvi ya 200 au biscuit au kipande cha sabuni nawapelekea. Nimeteka soko. Sema washkaji hawajanishtukia hizi harakati, huwa hawanisomi nina kibegi mgongoni narudishia duka nachomoka Yaani sipumziki halafu wanajiuliza naendaga wapi hawapati jibu kumbe kwenye begi nina pipi au chumvi au ngano ama sembe ama mswaki Yaani kama kichaa na kabaskeli kangu, ila nauza sana.

Sasa wanahisi mimi freemason maana wateja huwa hawaji dukani ni mmoja mmoja tu halafu bidhaa zinaisha naagiza zingine. Nahisi siku wakijua nafanya delivery watanimaindi sana.
 
Nimecheka bro, hongera Sana
 
Furahisha genge
 
Ulishawahi kusikia au kukutana na hili?

Kuna vitu unaweza kufanya mtandaoni katika biashara yako kimazoea labda kwasababu unaona wengine pia wanafanya.

Kumbuka hili kuepuka matatizo na watu wengine:-

Epuka matumizi ya Picha, Majina au Logo za watu wengine au makampuni katika Matangazo yako ya Biashara bila idhini ya wahusika.

Watakufilisi hautaamini.

Jifunze na pendelea sana kuandaa picha na maudhui ya Biashara yako mwenyewe.

Kutengeneza picha unaweza tumia application kama Canva.

Pia unaweza kupiga picha bidhaa zako kwa kutumia simu yako.

Kuandika, unaweza tumia programu kama ChatGPT Ila hakikisha pia unaongezea vionjo vyako mwenyewe katika maelezo hayo.

Kuna sehemu nimekupoteza? Au bado unajiuliza..

"Kaka Mr. Purpose hayo madude sijui Canva na ChatGPT ndiyo nini?

Na unawezaje kuzitumia kutengeneza maudhui ya Biashara mtandaoni?"

Usijali, hiyo ndiyo sababu nipo!

We nitumie tu meseji WhatsApp 0752026992 tuwekane sawa.
matumizi ya Picha na Alama za watu katika biashara na Musabskilld.jpg
 
Niko na duka la vyakula, pale Mtaani kwetu kuna maduka 6 mimi niko na baskeli nawapa namba wateja wakitaka kakitu nawapelekea naenda kuchukua pesa hata kama chumvi ya 200 au biscuit au kipande cha sabuni nawapelekea. Nimeteka soko. Sema washkaji hawajanishtukia hizi harakati, huwa hawanisomi nina kibegi mgongoni narudishia duka nachomoka Yaani sipumziki halafu wanajiuliza naendaga wapi hawapati jibu kumbe kwenye begi nina pipi au chumvi au ngano ama sembe ama mswaki Yaani kama kichaa na kabaskeli kangu, ila nauza sana.

Sasa wanahisi mimi freemason maana wateja huwa hawaji dukani ni mmoja mmoja tu halafu bidhaa zinaisha naagiza zingine. Nahisi siku wakijua nafanya delivery watanimaindi sana.
Hii kweli mpya
 
Moja kati ya kosa ambalo Wafanyabiashara wengi wanalifanya, ni kudhani kuwa ukishafungua Fremu yako ya biashara hapo mtaani kwako au sokoni basi umemaliza.

Aisee, ulimwengu kwasasa umebadilika sana na staili hiyo ya kufanya biashara ilikuwa ni ya zamani sana. Kwasasa ili utoboe kwenye biashara unahitaji kujiongeza haswa katika eneo la masoko.

Ushindani umekuwa mkubwa sana, ebu jaribu kupanua wigo wa biashara yako kufikia watu wengi zaidi hasa hasa mtandaoni. Usiishie hapo ulipo.

Tupe uzoefu wako tujifunze, wapi ulipo kwasasa? Kwenye Fremu au Fremu na mtandaoni pia?
View attachment 2520221
Hata mimi mmiliki wa biashara ya majeneza naruhusiwa kukomenti pia?
 
Hata mimi mmiliki wa biashara ya majeneza naruhusiwa kukomenti pia?
Unaruhusiwa kutoa comment mkuu.

Hiyo ni biashara na inahitaji wateja, na wateja hao kwa wingi wapo mtandaoni.

Huko utafahamika wewe na biashara yako pia hivyo kupata wateja kiurahisi kabisa.

Unatumia mbinu gani mkuu kwasasa?
 
Je, unataka biashara yako kufahamika zaidi na kufikia wateja wapya Bure?

Kama jibu lako ni ndiyo, basi kuweka biashara yako kwenye Ramani ya Google ndio hatua sahihi ya kuchukua.

Unaweza kuboresha uwepo wako mtandaoni kwa kuweka maelezo ya kina kuhusu biashara yako, kuongeza picha, kuweka taarifa mbalimbali kuhusu biashara yako (Updates) na kuweka Bidhaa mara kwa mara.

Kwa kuwa biashara yako itaonekana kwenye Ramani ya Google, wateja wana uwezekano mkubwa wa kuiona na kuitambua kama biashara halali na ya kuaminika.

Kuweka biashara yako kwenye Ramani ya Google ni rahisi sana.

1. Tutakufungulia account yako maalum Google My Business.

2. Tutakuwekea maelezo ya kina kuhusu biashara yako, picha, na habari zingine muhimu.

3. Tutakusaidia kuhakikisha biashara yako inathibitishwa ili kuonekana kwenye Ramani ya Google.

Mara tu biashara yako inapothibitishwa, itaonekana kwenye Ramani ya Google na utaweza kufuatilia uchambuzi wa biashara yako, kupata maoni ya wateja, na kuboresha uwepo wako mtandaoni.

Kwa kumalizia, kuweka biashara yako kwenye Ramani ya Google ni hatua muhimu katika kukuza biashara yako na kuongeza uwepo wako mtandaoni.

Usipoteze fursa hii ya kuboresha biashara yako na kuongeza uwepo wako mtandaoni, anza sasa kwa kuweka biashara yako kwenye Ramani ya Google!

Tuwasiliane WhatsApp 0752026992 kupata huduma hii leo.

Google map and Google my business Musabskilld Tanzania.jpg
 
Zingatia Mambo Haya 5 Kuepuka Kupoteza Hela Kwenye Matangazo Ya Kulipia Mtandaoni.

Kwa sasa, matangazo ya kulipia kwenye Facebook na Instagram ni mojawapo ya njia bora za kufikia wateja wako kwa haraka na ufanisi.

Zingatia mambo haya muhimu ili kutengeneza matangazo bora Facebook na Instagram:

1. MALENGO.

Kabla ya kuanza kutengeneza matangazo yako ya kulipia, unapaswa kuwa na malengo sahihi na yanayoeleweka.

Je, unataka kuongeza idadi ya wafuasi (followers) kwenye akaunti yako ya Instagram au Facebook? Au unataka kuuza bidhaa au huduma kwenye tovuti yako au duka?

2. FAHAMU KUNDI LA WATEJA WAKO.

Hauwezi kumuuzia kila mtu mtandaoni, hakikisha unajifunza na kuwafahamu watu unaowalenga kiundani zaidi.

Fahamu mambo muhimu kuhusu wateja wako kama vile mahali walipo, changamoto zao, shughuli zao, Elimu na mengine kutegemeana na aina ya huduma au bidhaa yako.

3. CHAGUA FORMAT SAHIHI YA TANGAZO (PICHA, VIDEO, MAELEZO).

Je, unataka kutumia picha, video au maelezo tu ya kawaida?

Ni muhimu sana kujua ni format gani inafaa kutegemeana na bidhaa au huduma yako.

Kwa mfano, matangazo ya video yanafaa zaidi kwa kuuza bidhaa au huduma, wakati matangazo ya picha yanafaa zaidi kwa kuvutia wafuasi wapya kwenye akaunti yako ya Instagram au Facebook.

Hakikisha unaandaa tangazo lako vizuri na liwe la kuvutia kuanzia maelezo, mawasiliano, bei na jinsi gani bidhaa au huduma itamfikia mteja.

4. ZINGATIA BAJETI YAKO.

Kabla ya kuanza kutumia matangazo ya kulipia, unapaswa kujua ni kiasi gani unaweza kutumia kwenye matangazo yako.

Weka bajeti yako kwa kuzingatia malengo yako na uwezo wako wa kifedha.

5. FUATILIA MATOKEO YA TANGAZO LAKO.

Baada ya kutengeneza matangazo yako na kuanza kurusha, ni muhimu kufuatilia matokeo yako kwa ukaribu.

Kutumia zana za uchambuzi kama vile Facebook Ads Manager kuelewa muenendo wa tangazo lako itakusaidia kujua kama mbinu zako ziko sahihi au uboreshe tangazo lako zaidi.

Zingatia mambo hayo kuepuka kupoteza pesa kurusha matangazo bila kuuza chochote.

Sasa kwa leo nipo hapa kukusaidia mambo haya:-

1. Kufikia wateja wako kiurahisi kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Instagram, Twitter, LinkedIn, Pinterest na YouTube.

2. Kukusaidia kuweka biashara yako kwenye Ramani ya Google kuvutia wateja wapya kila siku.

3. Kukutengenezea tovuti (Website) maalum kwaajili ya Biashara yako.

4. Kukupa mbinu bora za kuandika maudhui (posts) na kukuandalia Matangazo ya Biashara yako mtandaoni.

5. Kuboresha tovuti na kuifanya ipatikane katika Search Engine kama vile Google, Yahoo na Bing (SEO)

6. Kuboresha mitandao yako ya kijamii ili kufikia Watu wengi.

7. Kukutengenezea Matangazo ya Picha ya Biashara yako (Posters na Fylers).

8. Mafunzo ya Digital Marketing.

9. Kukusaidia kusajili kampuni na majina ya biashara BRELA, ORS.

Kwa uhitaji wa huduma yoyote kati ya hizo usisite kuwasiliana na mimi WhatsApp 0752026992.

Nipo tayari kujibu maswali yako hapo kwenye comment.
Matangazo_ya_Biashara_ya_kulipia_Mtandaoni _Facebook_sponsored_ads_and google_Adwords.jpg
 
Hauna Ajira na haujui nini cha kufanya?

Au umeajiriwa ila unataka kuongeza kipato cha ziada?

Fahamu hizi njia 4 unazoweza kutumia kutengeneza Pesa mtandaoni.

1. Kuandika maudhui mtandaoni.

Kuandika post za mitandao ya kijamii kwaajili ya biashara yako au makampuni na watu wenye biashara au huduma mbalimbali.

Kuandika Makala za Blog na Tovuti (Websites).

2. Kutangaza na Kuuza Ujuzi wako mtandaoni.
Mfano ujuzi kama vile:-

• Kutafsiri Lugha

• Graphics Design

• Web Design

• Digital Marketing.

• Wataalamu wa Search Engine Optimization (SEO)

• Na ujuzi wowote mwingine ulionao.

3. Kufanya Udalali.

Kuuza bidhaa za watu au bidhaa za makampuni mtandoni na unapata gawio la asilimia kadhaa kulingana na makubaliano yenu.

4. Kuuza bidhaa zako mtandaoni.

Kama una biashara yako unaweza kuiweka mtandaoni na kuanza kuuza bidhaa zako kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.

Njia gani ambayo ungependa kufahamu zaidi na kuanza kufanya?

Kupata muongozo kamili jinsi gani unaweza kuanza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia njia yoyote kati ya hizo nimetaja karibu Whatsapp 0752 026 992
Fahamu hizi njia 4 unazoweza kutumia kutengeneza Pesa mtandaoni.jpg
 
Hauna Ajira na haujui nini cha kufanya?

Au umeajiriwa ila unataka kuongeza kipato cha ziada?

Fahamu hizi njia 4 unazoweza kutumia kutengeneza Pesa mtandaoni.

1. Kuandika maudhui mtandaoni.

Kuandika post za mitandao ya kijamii kwaajili ya biashara yako au makampuni na watu wenye biashara au huduma mbalimbali.

Kuandika Makala za Blog na Tovuti (Websites).

2. Kutangaza na Kuuza Ujuzi wako mtandaoni.
Mfano ujuzi kama vile:-

• Kutafsiri Lugha

• Graphics Design

• Web Design

• Digital Marketing.

• Wataalamu wa Search Engine Optimization (SEO)

• Na ujuzi wowote mwingine ulionao.

3. Kufanya Udalali.

Kuuza bidhaa za watu au bidhaa za makampuni mtandoni na unapata gawio la asilimia kadhaa kulingana na makubaliano yenu.

4. Kuuza bidhaa zako mtandaoni.

Kama una biashara yako unaweza kuiweka mtandaoni na kuanza kuuza bidhaa zako kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.

Njia gani ambayo ungependa kufahamu zaidi na kuanza kufanya?

Kupata muongozo kamili jinsi gani unaweza kuanza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia njia yoyote kati ya hizo nimetaja karibu Whatsapp 0752 026 992View attachment 2639379
Asante , hizo mambo unatakiwa uwe smart na sharp, Kwa sababu competition ni kubwa Sana maana ni worldwide competition
 
Back
Top Bottom