Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Madini sana mzee
 
Ni kweli wanapewa bei moja ,nilienda kununua hisence 55 inch nimezunguka sana apo uhuru bei zao ni fixed,winga na muhindi wote ni madalali
 
Haya mazoezi ndio maana wenye hela wanajimalizaga Mlimani City tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…