Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

Endelea kula umbea kijana si uliutaka?🤣🤣
 
Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
wewe kuwa nayo hukushangaaa 😀 😀 😀
 
Aibu naona mimi
 
Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
Nyuzi za "Mji Mzito" za Marehemu yule zilikuwa zinatembea ile mbayaa..

Hiyo yote ina maanisha 99% za wana jf wanapenda udaku...

Hata hiyo Mange Kimbambi App 90% humu wanayo, sema publicly wanajibaraguza, BTS wanayo sanaaa, vpn zinawashwa kwa kwenda mbelee..
 
Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
Ukashangaa nini? Ungeuliza pengine wana sababu za msingi. Hata mimi nilikuwa na hiyo app na nilikuwa nime-subscribe kulipia kila mwezi lakini sasa nimejitoa. Kilichofanya nijiunga ni kum-support Mange mwenyewe kwa kupigana vita vya mtu mmoja, bila woga kipindi cha udikteta wa Magufuli. Na juzi juzi pia alipopinga mama Abdul kumilikisha bandari zetu kwa waarabu. Kwa sasa nimejitoa kwa sababu kaacha kuanika uovu wa viongozi. Akirudia tena na mimi nitajiunga tena.
 
Wewe ni ke au me? tuanzie hapo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha roho mbaya mkuu,ebu endelea kumchangia Mange,Mtanzania mwenzio huyo ujue
 
Mim nipo nje ya mada. Najaribu sana kufungua akaunt twita kwan ya awal nimeipoteza.sasa kila nikifika kipebgele cha kuweka namba ya simu inazunguka ina kwambia unfortunately we cannot register your number at the moment. Hii ni gan?
 
Hawajui kuwa wewe ni kitengo na uliingia kule just kufuata info😃
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787] ukome ila nakusaidia soma comment inayofuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…