Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Lione hili nyau sasa.wewe umeyajuaje hayo kama huna app yake?
nawewe uache umbea fwala wewe kama kazi huna njoo tukupe kazi
Jinga hilo linakoment bila kushirikisha akili🤣🤣🤣
Louder please 🏌️
Mzee mwanaume serious hufanyi huu upuuzihaa ha..daah jamaa anajuta
Endelea kula umbea kijana si uliutaka?🤣🤣Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
wewe kuwa nayo hukushangaaa 😀 😀 😀Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
Aibu naona mimiWakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
Nyuzi za "Mji Mzito" za Marehemu yule zilikuwa zinatembea ile mbayaa..Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
Ukashangaa nini? Ungeuliza pengine wana sababu za msingi. Hata mimi nilikuwa na hiyo app na nilikuwa nime-subscribe kulipia kila mwezi lakini sasa nimejitoa. Kilichofanya nijiunga ni kum-support Mange mwenyewe kwa kupigana vita vya mtu mmoja, bila woga kipindi cha udikteta wa Magufuli. Na juzi juzi pia alipopinga mama Abdul kumilikisha bandari zetu kwa waarabu. Kwa sasa nimejitoa kwa sababu kaacha kuanika uovu wa viongozi. Akirudia tena na mimi nitajiunga tena.Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
ndiyo but ni username tuu sio jina halisiMhmm!!? Pablo mwanamke??
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
Acha roho mbaya mkuu,ebu endelea kumchangia Mange,Mtanzania mwenzio huyo ujueWakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
demu anaingizaa helaa ndefu sana yulee...umbeya umekuwa ajiraa kwakeAcha roho mbaya mkuu,ebu endelea kumchangia Mange,Mtanzania mwenzio huyo ujue
Aahaaaa,acha aendelee kumchangia Mangedemu anaingizaa helaa ndefu sana yulee...umbeya umekuwa ajiraa kwake
Hawajui kuwa wewe ni kitengo na uliingia kule just kufuata info😃Dah! sijaamini kilichotokea hapa. Page 3 za mashambulizi? Nakumbuka nina threads za kutosha za maana ila hazina hata page mbili za uchangiaji. Wanaojiita wa busara ndio hao wanaochafua jukwaa hili kwa kejeli. Wanachojua ni mipasho tu. Hii ni hatari kwa taifa. Ningekuwa chitchat sawa, ila hapa natafuta ufumbuzi wa ishu iliyotokea. Hao hao wanaoponda hapa ukiwachunguza ni hodari kwa habari za udaku. Nimewasamehe.
Mkuu ukisoma uzi utaona maelezo yangu
Mpaka aseme...Mwanaume unakaa unalipia app ya Udaku..
Ww wasikupe msaada mpaka useme ulifata nini huko.
[emoji1787][emoji23][emoji1787] ukome ila nakusaidia soma comment inayofuataWakuu za asubuhi