Mwanamke hata umpe dunia nzima, kama hsumpi unyunba unaojisheleza, huyo atabaki anaungulika maisha, hana furaha ya ndani (inner peace). Ugomvi, kununa, kusikitika hakutamwishia.
. Soma Alfu lela u lela uwajuwe wanawake.
Kuna vitabu vya zamani vingi sana ndivyo vinavyomjuwa mwanamke, mmkitska refence niyawapa vitatu, Hizi theories zenu za sasa hazina lolotenwala chochote.
Mnamtafsiri mwanamke ki material. Mnakosea.
Mwanamke anaejijuwa ana thamani kuliko chochote duniani.
Kuwabebea uhai wenu ndani ya miili yetu, kuna chenye thamani zaidi ya hicho?
Furaha ya mwanamke ipo ndani, siyo nje (inner feelings).