Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Msidanganyike. Hakuna dawa za kupunguza unene. Sana sana utadanganywa ubugie mavitu yenye madhara. Watu wengi wenye vitamba wanakula sana, tena vyakula vya aina fulani bila kufanya activities za kutosha.
Unanisema mimi jaman ...nimepewa task na dk ya kukata 20kgs..sijui naanzia wP..nikiruka kamba naumia balaa..wanangu wanacheka hao..kukimbia njiani usumbufu..bas nimebak nahesabu tu siku...kwenye kula sasa🙌! Jaman hakuna kazi ngumu km kupunguaa...arghhh..hapa niko safarini nawaza nikidrop nikafakamie msosi balaa
 
Unanisema mimi jaman ...nimepewa task na dk ya kukata 20kgs..sijui naanzia wP..nikiruka kamba naumia balaa..wanangu wanacheka hao..kukimbia njiani usumbufu..bas nimebak nahesabu tu siku...kwenye kula sasa🙌! Jaman hakuna kazi ngumu km kupunguaa...arghhh..hapa niko safarini nawaza nikidrop nikafakamie msosi balaa
Inahitaji commitment na discipline na ndio maana wanaotamani kupungua ni wengi lakini wanaoweza masharti ni wachache sana.
 
Kuna mahali nimeona unataka mtori na mishkaki ya nundu 😂😂😂. Kwa style hiyo asee utakuwa unaongeza uzito daily.
Hahahhahaa hahahaha...yaan nilikua na mwili.mzuri mimi jaman..🤣🤣! Last week dingi alinipgia sim kutaka kujua kama nimeanza mazoez...akaniambia yaan wewe kwenye nyama ndo unajiletea matatizk..

Akaniambia wewe mbuzi twende..ng'ombe twende..fisi twende🤣🤣🤣!nilicheka had kupaliwa jaman...
Fistly napenda sana kupika,kuchoma choma ndo mwenyewe...yaan napenda kushinda jikon najipikilisha...

Sema tumekutana....kha naacha aise..ulaji mbaya unaumiza sana..hapa sina usingz sijala leo
 
Ingia play store download app zipo kibao za kukufundisha mazoezi ndani ya week 2 tu kitamb chote kwisha.zingatia hili hakuna cha dawa wala nn fasta mapema tu unarudi sawa.
Kumbuka mazoez muhimu
Mazoezi kibao lakini yote tisa, kumi yataka moyo wa kuvumilia. Zoezi la tumbo sio mchezo mkuu!
 
Kuna jamaa yangu alianza program ya kuondoa kitambi, alipunguza mlo na kufanya mazoezi....akaishia kuwa mwembaba lakini kakitambi bado kamechomoza, anakuwa kama ameficha kofia ya Pikipiki tumboni.
Sio kwashakor hiyo? 😂 😂 😂
 
Hahahhahaa hahahaha...yaan nilikua na mwili.mzuri mimi jaman..🤣🤣! Last week dingi alinipgia sim kutaka kujua kama nimeanza mazoez...akaniambia yaan wewe kwenye nyama ndo unajiletea matatizk..akaniambia wewe mbuzi twende..ng'ombe twende..fisi twende🤣🤣🤣!nilicheka had kupaliwa jaman...
Fistly napenda sana kupika,kuchoma choma ndo mwenyewe...yaan napenda kushinda jikon najipikilisha...sema tumekutana....kha naacha aise..ulaji mbaya unaumiza sana..hapa sina usingz sijala leo
Kwa kuanza ni vizuri ukapunguza kiasi tu unacho consume. Taratibu unabadilisha aina ya vyakula unavyokula na kufanya mazoezi sio lazima kila ila angalau mara kadhaa kwa week.

Hebu soma huu ushauri wa National Health Service - NHS (UK) juu ya haya mambo.
 
Gongo, pombe kali zinakausha vitambi na minyoo..... Niamini anko, nilikuwa na vinyama vya kishkaji ila now vimepotea kiajabu kabisa....
.... Kula vibe.. Okoa kitambi
 
Nisaidieni dawa ya kupunguza Kitambi ...tumbo langu linazid kuwa kubwa
Nani kakuambia kitambi kina dawa..mbona unauliza maswali mepesi...punguza kula ovyo tenga muda wa mazoez hiyo ndo dawa ya kitambi
 
Back
Top Bottom