SODIUM CYANIDE
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 691
- 1,166
Hakuna cha dawa.
Ulaji sahihi na mazoezi kitambi kwisha
Ulaji sahihi na mazoezi kitambi kwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi unasema "nisaidieni dawa ya kupunguza kitambi" wewe unaandika "ukihitaji sema"Kuna mshikaji anaitwa Bab rama ana dawa ya kitambi ukihitaji sema
Unanisema mimi jaman ...nimepewa task na dk ya kukata 20kgs..sijui naanzia wP..nikiruka kamba naumia balaa..wanangu wanacheka hao..kukimbia njiani usumbufu..bas nimebak nahesabu tu siku...kwenye kula sasa🙌! Jaman hakuna kazi ngumu km kupunguaa...arghhh..hapa niko safarini nawaza nikidrop nikafakamie msosi balaaMsidanganyike. Hakuna dawa za kupunguza unene. Sana sana utadanganywa ubugie mavitu yenye madhara. Watu wengi wenye vitamba wanakula sana, tena vyakula vya aina fulani bila kufanya activities za kutosha.
Inahitaji commitment na discipline na ndio maana wanaotamani kupungua ni wengi lakini wanaoweza masharti ni wachache sana.Unanisema mimi jaman ...nimepewa task na dk ya kukata 20kgs..sijui naanzia wP..nikiruka kamba naumia balaa..wanangu wanacheka hao..kukimbia njiani usumbufu..bas nimebak nahesabu tu siku...kwenye kula sasa🙌! Jaman hakuna kazi ngumu km kupunguaa...arghhh..hapa niko safarini nawaza nikidrop nikafakamie msosi balaa
Mimi nahis nna discpline kwenye kutafuta maisha..jaman nataman kurudi nilivyokuwa..uwiii🥵😭!Inahitaji commitment na discipline na ndio maana wanaotamani kupungua ni wengi lakini wanaoweza masharti ni wachache sana.
Balance mambo yako, utafanikiwa. Tafuta maisha ila jali afya pia maana hayo maisha ukiyatafuta halafu afya ikadorora hutayafurahia hayo mafanikio.Mimi nahis nna discpline kwenye kutafuta maisha..jaman nataman kurudi nilivyokuwa..uwiii🥵😭!
Shida ndo iko hapo..naogopa sana magonjwa nyemelezi ntaanza soonBalance mambo yako, utafanikiwa. Tafuta maisha ila jali afya pia maana hayo maisha ukiyatafuta halafu afya ikadorora hutayafurahia hayo mafanikio.
Kuna mahali nimeona unataka mtori na mishkaki ya nundu 😂😂😂. Kwa style hiyo asee utakuwa unaongeza uzito daily.Shida ndo iko hapo..naogopa sana magonjwa nyemelezi ntaanza soon
Punguza kiasi cha chakula kwa kila mlo, na epuka vitu vya sukari nyingi, chumvi na mafuta. Jiwekee utaratibu wa kutembea kwa mguu, utoke jasho.Nisaidieni dawa ya kupunguza Kitambi ...tumbo langu linazid kuwa kubwa
Hahahhahaa hahahaha...yaan nilikua na mwili.mzuri mimi jaman..🤣🤣! Last week dingi alinipgia sim kutaka kujua kama nimeanza mazoez...akaniambia yaan wewe kwenye nyama ndo unajiletea matatizk..Kuna mahali nimeona unataka mtori na mishkaki ya nundu 😂😂😂. Kwa style hiyo asee utakuwa unaongeza uzito daily.
Mazoezi kibao lakini yote tisa, kumi yataka moyo wa kuvumilia. Zoezi la tumbo sio mchezo mkuu!Ingia play store download app zipo kibao za kukufundisha mazoezi ndani ya week 2 tu kitamb chote kwisha.zingatia hili hakuna cha dawa wala nn fasta mapema tu unarudi sawa.
Kumbuka mazoez muhimu
Sio kwashakor hiyo? 😂 😂 😂Kuna jamaa yangu alianza program ya kuondoa kitambi, alipunguza mlo na kufanya mazoezi....akaishia kuwa mwembaba lakini kakitambi bado kamechomoza, anakuwa kama ameficha kofia ya Pikipiki tumboni.
Kwa kuanza ni vizuri ukapunguza kiasi tu unacho consume. Taratibu unabadilisha aina ya vyakula unavyokula na kufanya mazoezi sio lazima kila ila angalau mara kadhaa kwa week.Hahahhahaa hahahaha...yaan nilikua na mwili.mzuri mimi jaman..🤣🤣! Last week dingi alinipgia sim kutaka kujua kama nimeanza mazoez...akaniambia yaan wewe kwenye nyama ndo unajiletea matatizk..akaniambia wewe mbuzi twende..ng'ombe twende..fisi twende🤣🤣🤣!nilicheka had kupaliwa jaman...
Fistly napenda sana kupika,kuchoma choma ndo mwenyewe...yaan napenda kushinda jikon najipikilisha...sema tumekutana....kha naacha aise..ulaji mbaya unaumiza sana..hapa sina usingz sijala leo
Mkuu leta njuluku NIKUPE dawa ya kuondoa kitambi bila madhara.😀😀😀Nisaidieni dawa ya kupunguza Kitambi ...tumbo langu linazid kuwa kubwa
Pombe kali aka spirits =zinaua maini ujue!Gongo, pombe kali zinakausha vitambi na minyoo..... Niamini anko, nilikuwa na vinyama vya kishkaji ila now vimepotea kiajabu kabisa....
.... Kula vibe.. Okoa kitambi
Nani kakuambia kitambi kina dawa..mbona unauliza maswali mepesi...punguza kula ovyo tenga muda wa mazoez hiyo ndo dawa ya kitambiNisaidieni dawa ya kupunguza Kitambi ...tumbo langu linazid kuwa kubwa