Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Oct 26, 2022 #421 Raimundo said: Hii itabidi niikopi, maana haya majukumu hayakwepeki. Click to expand... Miye mwenyewe nataka niiprint kabisa niiweke ndani, maana ikitokea hushangai alafu wanaojua wanazidi kuisha tunabaki vijana maisha sijui yatakuwaje?
Raimundo said: Hii itabidi niikopi, maana haya majukumu hayakwepeki. Click to expand... Miye mwenyewe nataka niiprint kabisa niiweke ndani, maana ikitokea hushangai alafu wanaojua wanazidi kuisha tunabaki vijana maisha sijui yatakuwaje?