Mimi nataka kujua kitu. Kulikua na msiba machame. Kama.mjuavyo machame waislam ni wengi pia. Aliyefariki alikua muislam. Njaa ilikua yauma kweli. Nilikua nikisikia kwamba huwa wanavyokamuliwa kinyesi huwekwa kwenye chakula. Basi jamaa yangu akanitonya kwenye hilo pilau wamechanganya na kinyesi. Jamani nilitapikaaa[emoji119][emoji119] nilitapika mno na hapo sikua nimekula. Tulienda kulia moshi mjini usiku wa saa 5. Hebu tuambie mkuu, kuna ukweli juu ya hili?
Sent from my SM-G960U using
JamiiForums mobile app
Ha...ha...[emoji38][emoji38][emoji38]
Huwa wanakamulia kwenye masufuria. Yaani vyombo hivi tunavyotumia.
Halafu wanafukia Uchafu tu ndani ya chumba.
Hizo sufuria zinaoshwa na maji ya Moto na sabuni na zinatumika tena Kwa matumizi ya kawaida.
Inawezekana zikatumika kwenye mapishi ya hapo hapo msibani.
Na wanafanya Kwa siri sana na hakuna kutangaza tangaza.
Yaani Mavi yanafukiwa Chumbani Maiti inafukiwa makabulini maana hawaendi makabulini na huo Uchafu.
Ukiona chumba sakafuni kina ka mduara, ujue tayari kuna Marehemu mpangaji aliyetangulia kaacha Uchafu wake hapo.
Nyie mnaotafuta vyumba lazima mchunguze kwanza vimduara vipya ukubwa wa mfuniko wa ndoo ya maji au Dumla.
Hawa jamaa ni noma sana [emoji38][emoji38][emoji38]
Wakitoka nje utasiki "nyie ni makafiri tu"
"Chunguza ukiona kamduara ahirisha kupanga hako kachumba na hata ukiuliza huambiwi chochote"
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]