Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Makafara mengi huchanganywa kwenye chakula cha jumuia kwani hawa jamaa washirikina sana. Kuna ukweli katika hilo na wanafanya hivyo wana maana yao katika masuala yao ya kishirikina.
Mungu wangu. Ni kweli?[emoji24][emoji24][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ha...ha...[emoji38][emoji38][emoji38]
Huwa wanakamulia kwenye masufuria. Yaani vyombo hivi tunavyotumia.
Halafu wanafukia Uchafu tu ndani ya chumba.
Hizo sufuria zinaoshwa na maji ya Moto na sabuni na zinatumika tena Kwa matumizi ya kawaida.
Inawezekana zikatumika kwenye mapishi ya hapo hapo msibani.
Na wanafanya Kwa siri sana na hakuna kutangaza tangaza.
Yaani Mavi yanafukiwa Chumbani Maiti inafukiwa makabulini maana hawaendi makabulini na huo Uchafu.
Ukiona chumba sakafuni kina ka mduara, ujue tayari kuna Marehemu mpangaji aliyetangulia kaacha Uchafu wake hapo.
Nyie mnaotafuta vyumba lazima mchunguze kwanza vimduara vipya ukubwa wa mfuniko wa ndoo ya maji au Dumla.
Hawa jamaa ni noma sana [emoji38][emoji38][emoji38]
Wakitoka nje utasiki "nyie ni makafiri tu"

"Chunguza ukiona kamduara ahirisha kupanga hako kachumba na hata ukiuliza huambiwi chochote"
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahah maaamamamaeeeee[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
uislam NI dini iliyonyooka Sanaa.
Kwa hyo wewe ukifa hautaki kuoshwa?.
wakati wa kutokwa roho kuna mambo mazito yanamtoka mtu.
Kujisaidia haja kubwa,na hata ndogo.
Wengine wanatapika n.k n.k
BINADAMU sio mnyama.
Ndio maana uislam umefundisha mtu akifariki kabla ya kuzikwa aogeshwe ,asafishwe,avalishwe.na hata manukato apuliziwe aende kwa mola wake akiwa SWAAÀAAFI.
sasa wewe unataka uzikwe na MAVI YAKO.
BURE KABISA WEWE
 
Mimi sio muislam, ila kwa hili naunga mkono usafi ni muhimu kwa marehemu.. sio kila kitu tubishane..vingine tuungane mkono.
 
Kuna wengine wamekufa kwenye ajali,madamu,ubongo,viungo vimevunjika vunjika,
Wengine wamejinyonga ,au kuna watoto au wanawake ambao wamebakwa na kulawitiwa Hadi kufa n.k
HAUWEZI kumchukua tu maiti na kwenda kumtupa shimoni.
BINADAMU ana heshima yake.
 
uislam NI dini iliyonyooka Sanaa.
Kwa hyo wewe ukifa hautaki kuoshwa?.
wakati wa kutokwa roho kuna mambo mazito yanamtoka mtu.
Kujisaidia haja kubwa,na hata ndogo.
Wengine wanatapika n.k n.k
BINADAMU sio mnyama.
Ndio maana uislam umefundisha mtu akifariki kabla ya kuzikwa aogeshwe ,asafishwe,avalishwe.na hata manukato apuliziwe aende kwa mola wake akiwa SWAAÀAAFI.
sasa wewe unataka uzikwe na MAVI YAKO.
BURE KABISA WEWE
Hapa Mada sio kuoshwa.
Jamii zote zinaosha Marehemu wao, ha hata kuwavika nguo Safi kama sanda na suti.

Hapa Mada ni
Kumkamua Marehemu Masazo, ya ndani hadi tumbo liwe flati kabisa.
Wengine wanainamisha hadi kichwa kiguse miguu ilimradi Tu tumbo litoe kila kitu cha ndani.

Hapo ndipo tunaposema kama ni Amri za Kiislamu basi Aya zingezungumza.

La semeni tu ni utamaduni ulioigwa toka Uarabuni.

Na sio kusingizia ni maamrisho ya Dini.
 
Chondechonde ndugu zanguni.
Hizi tofauti za kiimani zisitufanye kuvunja ushirikiano wetu. Tubishane, lakini tuendelee umoja kama binadamu na kama watanzania.
Imani tumeletewa. Na tukianza kuzifuatilia zote zina kasoro za kuibia maswalu ya kujiuliza. Rai yangu.
 
Hapa Mada sio kuoshwa.
Jamii zote zinaosha Marehemu wao, ha hata kuwavika nguo Safi kama sanda na suti.

Hapa Mada ni
Kumkamua Marehemu Masazo, ya ndani hadi tumbo liwe flati kabisa.
Wengine wanainamisha hadi kichwa kiguse miguu ilimradi Tu tumbo litoe kila kitu cha ndani.

Hapo ndipo tunaposema kama ni Amri za Kiislamu basi Aya zingezungumza.

La semeni tu ni utamaduni ulioigwa toka Uarabuni.

Na sio kusingizia ni maamrisho ya Dini.
Kuna mambo kwenye dini ni tamaduni zikaingizwa katika dini.
Mathalani mimi mpaka hivi leo nina maswali mengi huwa najiuliza kwa dini zote mbili kongwe ambayo kimsingi nayachukulia kama mapungufu yao.
 
mwaka flani nikiwa mkoa flani katika harakati za maisha jamaa niliyeenda nae aliugua ghafla akilalamika tumbo linamuuma ikafikia point akaanza kutapika vitu vya njano dizain kama nyongo vile, ikabidi nimpeleke hospital nilipofika nikamkabidhi kwa madaktari akawa amepewa kitanda, mimi nikatoka mara moja kwenda kuangalia shughuli iliyotupeleka huko mkoani, niliporudi hospital nikakuta kile kitanda cha mwana kimezungushiwa yale mashuka ya kijani nikamuuliza muhudumu wa ile ward vipi jamaa anaendeleaje? yule nurse akaniambia nenda pale ofisi ya wauguzi utapewa maelekezo nilipofika nikuliza hali ya mgonjwa wangu kuna mzee mmoja akaniuliza uhusiano wangu na mgonjwa nikamwambia ni mshkaji nafanya nae kazi, yule mzee akaniambia jamaa yako hutanae tena duniani, kiukweli nilishtuka sana sikuwaza kama jamaa anaweza kufa kiutani kiasi kile, ikabidi niende hadi pale walipozungusha mashuka nikaingia nikakuta wamemfunika nikamfununua jamaa alikua kama amelala nikamuita rama rama ila hakuitika, nilitoka pale wodini kama nimechanganyikiwa wale manesi wakaanza kuniita ila sikuwasikiliza nilienda breki ya kwanza guest tuliyofikia niliingia chumbani nikalia sana nikampigia simu bosi wetu nikampa taarifa, nikatoka nje ya pale guest nikawambia wale wahudumu yule jamaa yangu amefariki walishtuka pia, nikatoka na meneja wa guest hadi hospital kufika nikakuta ameshapelekwa mortually, nikaitwa ofisini nikapewa death certificate wakasema unaweza kuchukua maiti yako mkaendelee na taratibu za mazishi, kiukweli nilikua sijua naanzia wapi, hakuna siku nilivuta bangi nyingi kama usiku wa siku ile, nilikua napigiwa simu na watu wa ofisini na wa familia yao pia kujua nini kimetokea nyingi sukuzipokeA nilikua napokea ya bosi na kaka wa marehemu tu! kesho yake asbh yule mshkaji wa pale guest alinifanyia mpango tukatoa maiti tukapeleka kwenye msikiti fulani, mimi ndio mtu pekee niliyekua nafahamiana na marehemu ilibidi nishuhuduie kila kinachofanyika, kwa mara ya kwanza niliona waislam wanavyoosha maiti waliilaza juu ya kibaraza flani cha kuoshea maiti wakaifunika sana wakawa wanaosha kama jamaa alivyoeleza hapo juu wakamaliza wakaifunga vizuri nikamlipa yule ustaadhi elfu ishirini kama alivyohitaji, bosi akawa amewasiliana na watu wa mkoa ule tuikapewa gari kurudi dar nikiongozana na yule jamaa wa pale guest, ilikua ni experience ngumu sana kwenye maisha yangu hadi leo huwa naamini haya maisha ni fuckin tu yanaweza kukuacha muda wowote.
 
Duh pole sana mkuu sisi binadamu wajanja tu tukiwa wazima ila uzi ulioshikilia kifo na uhai ni mdogo sana.vip madaktari walisema chanzo ni nini?
 
Daah, jamani[emoji24][emoji24] poleere. Yaan sijiwezi. Daah

Back
Top Bottom