ally jerome
Member
- Jan 14, 2013
- 6
- 1
Waooo! Sasa najua kupika chapati, thanks very much!Nilikuwa sijaliona hili jukwaa, nitakuwa mdau mkubwa hapa, si mnanikaribisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waooo! Sasa najua kupika chapati, thanks very much!Nilikuwa sijaliona hili jukwaa, nitakuwa mdau mkubwa hapa, si mnanikaribisha?
hope u r very much okHaya mama...nafurahi kusikia hivyo. Mie napita tu. Wasalimi twins.
hope u r very much ok
They are good, all grown up!I am very very much ok though I am very busy these days... How are you and your family (your precious twins)?
They are good, all grown up!
8 yrs babaa, we thank our ALMIGHTY for everything.Really? How old are they now?
8 yrs babaa, we thank our ALMIGHTY for everything.
kuja PM wewe, usitake nitafutwe ka faru JohnDuhhh!!! Kweli time flies... Hongera kwa kukuza. Still upo Dar?
kuja PM wewe, usitake nitafutwe ka faru John
Aisee hii chapati haivutii kabisa sidhan kam imeivaa hiiHapa yamekosekana maharage tu
![]()
Khaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] chapati zatiwa hamira makubwa cc evelyn salt mamaa ya mapish njoo uone hukuusipokanda vizuri, unga wako sio mzuri na ubaridi ukizidi kwenye unga ukiwa unakanda. Ngano inaumuka kwenye joto bila kutiwa habira hii muhimu sana. unga upewe nafasi ya kuumuka
Andaa unga wako kweny besen tia chumvi kidogo mafuta kidog ukitak unayapasha moto ukitaka hupash mim huwa sipash unaweka maji kidogo huku unakanda unga wako utakanda unga hadi ulainike kabisaMaelezo khs Chapati common instruction please?
Maelezo khs Chapati common instruction please?
Yani kama zile chapati za kipindi cha YesuAisee hii chapati haivutii kabisa sidhan kam imeivaa hii
wapo wanaotia hamira kwenye chapatiKhaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] chapati zatiwa hamira makubwa cc evelyn salt mamaa ya mapish njoo uone huku
hahahahahahaYani kama zile chapati za kipindi cha Yesu
Mrs Van