Nimewaiwa na CountrywideKumbe bado acha nikutaftie kijana, nina kijana wangu mstaarabu mpole ,hana makuu ana kila sifa mrefu kidogo ila hana hela ebu mfikirie , katika orodha mwandike alafu unipe jibu kwa kuninong'oneza
Shukrani SanaKaribu sana
MkurangaSehemu gani?
Kama hajui kupika huyo ni wa kupiga miti asepeMzee Hilo umeliona eeh..... Kupika sifa kuu ya mwanamk anaetak kuwa muke ya mutu
Wewe unajua sana sitasahau maelekezo yako ya jinsi ya kupika samaki wa kubanikaTunajaribu jaribu
Habari ndo hiyo kama hajui kupika atanipikiaje mume wake na watoto wetu chakula bora na chenye lishe?Duhπ
Yanaongeleka lakini haya anaweza kuwa anazo ila ukakosa furaha ya moyo siwajua kule pesa si kitu , cha muhimu na msingi ni hii πNimewaiwa na Countrywide
Afu hapo βhana helaβ ndio umeharibu kabisaaa π€£π€£π€£π€£π
Kwa kweli kwenye kukosa pesa kabisaa hapana π€£π€£π€£Yanaongeleka lakini haya anaweza kuwa anazo ila ukakosa furaha ya moyo siwajua kule pesa si kitu , cha muhimu na msingi ni hii π
Ebo sisi tunataka tukupeleke pale kanda ya kati , ila chapati hata za kusukuma si unajua kupika au tutakupa ngozi ya mambaKwa kweli kwenye kukosa pesa kabisaa hapana π€£π€£π€£
Lakini kwakuwa ni Mangi mwenzenu sio mbaya nitakuwa shemeji yenu naye wa uko Kaskazini
Mangi wewe kumbe wa kanda ya kati? πEbo sisi tunataka tukupeleke pale kanda ya kati , ila chapati hata za kusukuma si unajua kupika au tutakupa ngozi ya mamba
Sasa kwani napenda fujo jamani , mshenga si naeleweka au nimezidisha chumvi au sukari imezidiMangi wewe kumbe wa kanda ya kati? π
Nikajua hiyo Mangi nawe wa kaskazini??
Me na watu wapenda fujo hapana kwakweli πππ
Hayo maini sii unaloweka km nusu saa then unapika km kawaid..... Km roast la maini? Au si hvyo ukhtyKaribu sana
Wakija wanavaa na jezii za man u..... Magheton [emoji16]Kama hajui kupika huyo ni wa kupiga miti asepe
Inategemea na namna unavotaka kupika kama nikuloweka maranying unaloweka na maziwa then unapika roastHayo maini sii unaloweka km nusu saa then unapika km kawaid..... Km roast la maini? Au si hvyo ukhty
Shem hatuachaniiiiπ€£π€£π€£π€£ Mbona ndoa nyingi zinavunjika humu tatizo nini?? Itakuwa umerogwa mdogoangu!!
We shem Mjep talaka yetu tuifate wapi?
Halafu za hivi zinakuwaga tamu balaaπ€£π€£π€£π€£
Sipendagi harufu ya maziwa kwenye maini huwa naloweka na maji ya limao ndyo napikaInategemea na namna unavotaka kupika kama nikuloweka maranying unaloweka na maziwa then unapika roast
Kuna ya kupika kawaida unaroast