Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

Sipendagi harufu ya maziwa kwenye maini huwa naloweka na maji ya limao ndyo napika
Ni njia nzuri pia hata kuoshea nyama Kwa wale wasiopenda harufu ya nyama limao ndio linafaa
 
Shangazii nifundishe kupika wali wa njegere,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeishia kuambiwa "unachoweza wee ni umbea na kutooo..."

Jaman njegere zimemunyukana, sio wali ni uchafuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂Nimecheka Kuna njia nying kipenz
Rahisi
Chemsha njegere zikiwa tayari ziweke kwenye bakuli zisiwe na maji kata karot vipande vya saiz unayopenda( hapa karoti usikate mapande kama unataka kutafuna saiz ya kawaida tu )😂😂😂

pikawaliwako kama kawaida ukikauka maji punguza moto weka njegere zako na karoti juu funika baada ya muda geuza tu kama kawaida ukiiva pakua ule
 
Boss lady, tajiri naomba unipe muongozo wa viungo vya kuweka kwenye nyama ili ikichomwa ilainike na kuwa tamu, december ndio hii ishafika
 
Mbona hufiki
Nilikuwa busy sana Leo pole
Ngoja nikuelekeze mpendwa sasahivi
Tuanze na kuchoma mishkaki
Mahitaji(Mimi Huwa sipendi viungo vingi)
Nyama steki,chumvi,kitunguu swaumu,tangawizi,manjano,limao na mafuta kijiko kimoja Cha chakula
Kata nyama Yako weka kwenye bakuli hakikisha Haina maji
Chukua bakuli nyingine weka kitunguu swaumu ulichosaga na tangawiz weka chumvi limao manjano na mafuta koroga Kisha mimina mchanganyiko wako kwenye nyama Changanya Kisha funika Kwa muda kidogo kuanzia Lisaa na kuendelea Kisha weka nyama kwenye vijiti Anza kuchoma mishkaki Hadi itakapoiva
 
Back
Top Bottom