LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Umemaliza
Ndivyo tunavyofanya pia
Sie lazma kuloweka na maji ya uvuguvugu unayaacha usiku kucha ama mchana kutwa
Unamwaga yale maji then unaweka mapya na unapika fasta tu
Maharage yanalika na vingi
Napendelea maharage ya njano tu yana ladha na huiva vizuri kuliko mengine

Nunua pressure cooker kama hauna. Kisha nunua maharage loweka nenda kazini (Kama ni magumu), ila pia sio lazima kuloweka. Tia kwenye pressure cooker maharage yako, washa jiko lako nusu saa yameiva.