toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Asante sana![]()
Njia rahisi ya kupika maharagwe pasi garama kubwa.
Nunua thermos zile kubwa za lita 2.5 au zaidi but siyo lazima ila thermos kubwa inakuwasaidia kwa mambo mengi. Ukiwa umeshanunua maharagwe yako na kuyasafisha, chemsha maji kulingana na maharagwe yako, maji yakichemka nyuzi joto zinazotakiwa mimina kwenye thermos na yale maharagwe. Zoezi hili...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app