Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
Hako kaharufu kanakera?Yanakua na ka harufu flani hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hako kaharufu kanakera?Yanakua na ka harufu flani hivi.
Nina line ya ikulu umeme haukatiki hapa kwangu
Sijui bei ya mkaa, ila ukijaza jiko tuu likiwaka na kukolea ukiweka, hata huo mkaa hauishi maana haichukui zaidi ya lisaa.Asante sana mkuu presha cooker kwa jiko la mkaa unaweza kutumia mkaa wa pesa ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua kutumia gas ni cheaper kuliko mkaa?Asante sana mkuu presha cooker kwa jiko la mkaa unaweza kutumia mkaa wa pesa ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuandika uzi humu, serikali ikikopesha watu majiko ya gesi na kusambaza magari ya gesi huko vijijini tutaokoa misitu kwa kiasi kikubwa.Hivi unajua kutumia gas ni cheaper kuliko mkaa???
Ule mtungi mdogo kuujaza ni 19,000 ambayo kwa matumizi ya rough inamaliza mwezi na matumizi ya kistaarabu ni zaidi ya mwezi. Ambapo ukisema ujiachie tu kwa huo mwezi mmoja utakuwa unatumia gas ya approximately 640 kwa siku. Kwa nnavyoonaga watu wanaotumia mkaa, sidhani kama mkaa wa 1,000 unatosha matumizi ya siku nzima. So ukipiga mahesabu utagundua kwamba matumizi ya mkaa ni gharama sana.Bila kusahau gas inakuokolea muda wa kuanza kuwasha mkaa na kusubiria mpaka ushike moto pia utachangia kutunza mazingira japo kidogo.
Ushauri wangu.....achana na mkaa hamia kwenye gas.
Na mbinu za kuivisha maharage kwa haraka bila kutumia moto mwingi umeshapewa za kutosha ila niongezee tu kuwa ukienda sokoni utakutana na maharage mabichi na yenyewe hayachukui muda mrefu kuiva.
Ukishaloweka kwa muda huo ukipika na gas yanachukua mda gn?Ukiyaloweka kama 12hrs au zaidi hayatachukua muda kuiva, nimeshajaribu na yakatoka vizuri tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaSijui bei ya mkaa, ila ukijaza jiko tuu likiwaka na kukolea ukiweka, hata huo mkaa hauishi maana haichukui zaidi ya lisaa.
Hapo nimezungumzia jiko dogo la mkaa.
Nunua pressure cooker kama hauna.
Kisha nunua maharage loweka nenda kazini (Kama ni magumu), ila pia sio lazima kuloweka.
Tia kwenye pressure cooker maharage yako, washa jiko lako nusu saa yameiva.
Asante sana mm nina ges ila nilikua nahofia kuchemsha kwa gesHivi unajua kutumia gas ni cheaper kuliko mkaa???
Ule mtungi mdogo kuujaza ni 19,000 ambayo kwa matumizi ya rough inamaliza mwezi na matumizi ya kistaarabu ni zaidi ya mwezi. Ambapo ukisema ujiachie tu kwa huo mwezi mmoja utakuwa unatumia gas ya approximately 640 kwa siku. Kwa nnavyoonaga watu wanaotumia mkaa, sidhani kama mkaa wa 1,000 unatosha matumizi ya siku nzima. So ukipiga mahesabu utagundua kwamba matumizi ya mkaa ni gharama sana.Bila kusahau gas inakuokolea muda wa kuanza kuwasha mkaa na kusubiria mpaka ushike moto pia utachangia kutunza mazingira japo kidogo.
Ushauri wangu.....achana na mkaa hamia kwenye gas.
Na mbinu za kuivisha maharage kwa haraka bila kutumia moto mwingi umeshapewa za kutosha ila niongezee tu kuwa ukienda sokoni utakutana na maharage mabichi na yenyewe hayachukui muda mrefu kuiva.
Karibu sana.
Mkaa wa 1000 tu unatosha.Asante sana mkuu presha cooker kwa jiko la mkaa unaweza kutumia mkaa wa pesa ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua thermos zile kubwa za lita 2.5 au zaidi but siyo lazima ila thermos kubwa inakuwasaidia kwa mambo mengi.
Ukiwa umeshanunua maharagwe yako na kuyasafisha, chemsha maji kulingana na maharagwe yako, maji yakichemka nyuzi joto zinazotakiwa mimina kwenye thermos na yale maharagwe.
Zoezi hili lifanyike masaa 5-8 kabla ya muda unaotaka kuyaunga, njia hii niliitumia sana miaka ya ubachera nikiwa na jiko la mchina lile la mafuta, ambalo likiingiza hewa linalipuka.
Nimeona hii emoji nikakumbuka.Wewe anti mtaalamu kwelikweli, kama uliingia akilini mwangu vile,[emoji1787]
Nimeona hii emoji nikakumbuka.
Unatumia pressure cooker kupika maharage au wewe haupiki?