Jinsi ya kupika maharage kwa njia rahisi bila kutumia gharama kubwa

Umemaliza
Ndivyo tunavyofanya pia
Sie lazma kuloweka na maji ya uvuguvugu unayaacha usiku kucha ama mchana kutwa
Unamwaga yale maji then unaweka mapya na unapika fasta tu

Maharage yanalika na vingi
Napendelea maharage ya njano tu yana ladha na huiva vizuri kuliko mengine

Nunua pressure cooker kama hauna. Kisha nunua maharage loweka nenda kazini (Kama ni magumu), ila pia sio lazima kuloweka. Tia kwenye pressure cooker maharage yako, washa jiko lako nusu saa yameiva.
 
Noma sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hyo avatar kama yako kwel.nidirik kusema binafsi siwez acha mtoto mzur hvo aingie shambani...kiukwel
[emoji28][emoji28],

mie pia nimeshtuka imenibidi niende kuchungulia jukwaa la technology labda kuna mapya.
 
Ata mm hii njia ndo natumiaga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sasa ndo mpya kwangu, nitajaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichoongea na alichokisema mtoa Mada Hakina utofauti ila utofauti upo kwenye vyombo vya kutumia sasa kama utaloweka masaa 6β‰₯7 afu tena +30' kuivilishia na huyu alosema masaa 5β‰₯8 ko hapo utakuwa umekwepa nini coz njia yako ts near Masaa 8 kama ya huyu mtoa mada tu ama ulitaka kuonyesha kuwa na wewe unajua??? Oops[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo kwenye mifuko unataka serikali waingilie kati huu uzi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaijaribu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…