Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Ndugu yangu kumbe unajua mambo mazuri hivi,mbona hunipikii au ndio yanamsubiri shemeji? πŸ˜‚
 
Kabisa Kuna muda unaenjoy mapishi tu ya wengine...ila ukiona yanakukera unaweza waambia wapunguze nyanya
 
Asante my dear
Huyo angekaa na mm tungegombania jikoni nikiwa na rafikizangu utasikia vipi hakuna bites bites kama hakuna lazima nipike muda huo huoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Zamani nilikuwa kama wewe napenda bites bites yaani oven liwe busy sijui cookies sijui visheti...maandazi...kalmati siku hz mambo ni mengiiiii jiko nakutana nalo jpil kwa jpil
Hapa nmeamka na hamu ya machalari ndyo nafanya mchakato
 
πŸ˜€πŸ˜€hongera utakuwa ni mpishi mzuri sana
Zamani nilikuwa kama wewe napenda bites bites yaani oven liwe busy sijui cookies sijui visheti...maandazi...kalmati siku hz mambo ni mengiiiii jiko nakutana nalo jpil kwa jpil
Hapa nmeamka na hamu ya machalari ndyo nafanya mchakato
 
Jana nimekula hii kitu ipo viral aisee kula (tafuna) mpaka mifupa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…