Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

Mh, nje ya mada wewe dada unaonekana...............hakuna mwanamke anayejua mapishi halafu asijue...............huo ubunifu unaouona kwenye mapishi upo mpaka kwenye.............
Hapana mkuu ila Dah ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Njoo ujifunze kula vyakula tofaut
Ni chakula kinachopikwa sana na kinapendwa hasa pwani
Usipende wali maharage Kila siku๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hua naogopa Sana kula chakula ambacho sijakizoea, Kuna mtu alinambia yy fundi wa mapishi kajisifia kinoma nkamualika anipikie wali samaki... nkamwachia kibunda mi nikaenda kucheki game, eeee bn weeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nashukuru Mungu mpaka saiv naendelea kula samaki almanusura iwe mwisho
 
Kilikuwaje๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huwa napenda kujaribu vitu vipya kilawakati ila nachofanya napika chakula kipya nikiwa kama najifunza sifanyi kuwa ni special kwa walaji hata kma nipo pekeyangu ili ikitokea nimetoa Boko Huwa nakuwa na mbadala

Mfano niliwah weka kiungo flani kwenye mboga sikukadiria ikabadili labda ya mchuz kabisa sikupenda
So nakuwa makini sana
 
Ndizi ikikosa nyama si ni mihogo tu mkuu!
 
Kilikuwaje๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mi nishazoea samaki wa kukaanga yy akanunua wale wabichi kipande kikubwa akakipika hivo hivo....wali ulikua mzuri mchuzi upo vizuri sema Sasa nlikuwa nikichukua mnofu hv Ile ngozi ya samaki inabaki ni kama inajitenga hv....baadae akauliza samaki wabichi watamu eeee๐Ÿ˜‚ nlikuwa wa nimechukuaa wali niweke mdomoni niliufinyanga kimtindo nikautupa kwenye vyombo bila yy kuona, nliokuwa nataka niumeze umekwama macho yanataka kulia huku nataka kutapika na kumwambia ukwel siwezi......nyie watu wanyamwezi sio watu
 
Ntakula vile vile nlivyokua navila ikiongezeka sana labda viongezewe viambata kidogo vinginevyo tutatapishana buree
 
Ntakula vile vile nlivyokua navila ikiongezeka sana labda viongezewe viambata kidogo vinginevyo tutatapishana buree
Yaan navojitetea nikipika kitu kipya ๐Ÿ˜€had watu wataonja sikumoja nilipata mgeni nilipika makange na ugali nikamkaangia na karanga za mayai na vikokotoo nikagundua hapend sukari ๐Ÿ˜€

Aisee hakuna kitu kinaniuma nipike kitu alafu mtu asile nilijielezea had akakubali kula kidogo zingine nikamfungia sijui kama alikula au aligawa ila niliridhika
 
Siku ya kwanza pika tu Ile misosi common kadri mtakavozoeana ndio ufanye inducement ya tuvitu vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ