Imagine ale afu akaarishe, yaani ndani ya 1 hourYaan navojitetea nikipika kitu kipya πhad watu wataonja sikumoja nilipata mgeni nilipika makange na ugali nikamkaangia na karanga za mayai na vikokotoo nikagundua hapend sukari π
Aisee hakuna kitu kinaniuma nipike kitu alafu mtu asile nilijielezea had akakubali kula kidogo zingine nikamfungia sijui kama alikula au aligawa ila niliridhika
Alafu kuharisha ni mtu na mtu mm Kuna baadhi ya vyakula nakula vizuri tu ila kunasiku chakula ichoicho nikila nakitapika Yani chote nafikir ni tumbo la mtu tu wengine had akinywa maji kabla hajakula chochote kwake ni tatizoImagine ale afu akaarishe, yaani ndani ya 1 hour
Maziwa mi ata nichemshe nusu saa lazima niharishe. Ila ya dukani fresh tu.Alafu kuharisha ni mtu na mtu mm Kuna baadhi ya vyakula nakula vizuri tu ila kunasiku chakula ichoicho nikila nakitapika Yani chote nafikir ni tumbo la mtu tu wengine had akinywa maji kabla hajakula chochote kwake ni tatizo
Nilikula kwa mpemba mmoja, ni tamu hii kitu balaa......
Aaliyyah β€οΈβ€οΈβ€οΈNatumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi
MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima
Sukari kama hupendi tumia chumvi
Hatua ya kwanza
Menya ndizi kata vipande vinne
Kama unatumia Nazi ya kawaida chuja tui la kwanza zito (bubu)na tui la pili weka pekeyake
Kama unatumia ya pakti bas andaa Nazi Yako weka maji kidogo kwakuwa huwa nzito sana
Hatua ya pili
Bandika sufuria ama pan weka ndiz zako Kisha weka tui la Nazi
La pili lile jepes kama unatumia Nazi ya pakti weka maji(maji yasiwe mengi)Kisha weka iriki funika acha ichemke had maji yakikauka
Hatua ya Tatu
Maji yakikauka weka sukari kma hupendi weka chumvi Kisha mimina tui la lile zito tikisa sufuria taratibu had vichanganyike usikoroge koroge na mwiko vitapondeka acha vichemke Kwa dakika 5 zitakuwa tayari View attachment 3099784View attachment 3099785View attachment 3099786
Pika mama tule πmaisha ni haya hayaNilivo na kiherehere na kupika Sasa sijui nitaweza mamaangu mwenyew kapiga salute ππ
Acha ubabaifu kijana tuma tuone kama ni kile ukikohoa kinatoka au ni sample nyingine ππHuyu Aaliyyah na mwenzie Evelyn Salt wanaomba pocha ya kibamia mara kibaoo. Nikiwatumia wananicheka
Achana nae anariiiinga sa kibamia nacho ni cha kumringia mtu mzabzab kaa nacho unenepeAcha ubabaifu kijana tuma tuone kama ni kile ukikohoa kinatoka au ni sample nyingine ππ
Evelyn Salt naomba ukazie kwenye picha
Sasa kamani unapata wapi huo muda wa kukohoa wakati wa mizangamuanoAcha ubabaifu kijana tuma tuone kama ni kile ukikohoa kinatoka au ni sample nyingine ππ
Evelyn Salt naomba ukazie kwenye picha
Tulia wewee bwana...nawaalika maghetoni hamkujiAchana nae anariiiinga sa kibamia nacho ni cha kumringia mtu mzabzab kaa nacho unenepe
Kumbe mnapenda yale ya kuwapalia eeh...kumbe wapenda mitulingaKu
Kuna kupaliwa ππ