Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

so bishanga is the oldest here,what makes you think so? acha kunizeeesha bana,Denaaaaa uko wapi kuna mtu hapa anataka nistaafishwe kabla ya muda!

35 uwaze kustaafu mkuu?Mwanajeshi nini?haha
 
Hayo uliyoorodhesha hapo juu hayategemi umri peke yake. Kuna jinsia, mazingira aliyokulia, interests/hobby na n.k. Funguka mkuu. Hii topiki uliyoaanzisha ni pana muno kuliko ulivyo ulivyoelezea hapo juu.

Nimechagua angle moja kwa sasa mkuu. All in all your suggestion is highly appreciated!
 
Hi imekaa ki-kuchunguzana-chunguzana bordeline umbeya na udaku.

Na haiweki maanani ukweli kwamba kuna watu wana stahili kupata Oscars kwa ku-act wasivyo, wanaume wanaoact kama wanawake, wanawake wanaoact kama wanaume, watoto wanao act kama wakubwa na wakubwa wanaoact kama watoto.

Sasa unavyobashiri umri unabashiri umri wa mtu au wa character?

Maana mtu mmoja anaweza kuwa na ID moja ya kitoto, nyingine ya kikubwa.
 
Mkuu hapa kinachofanyika ni ubashiri wa character. Kwa hiyo raia kama ana IDs kibao,basi atafanyiwa ubashiri kwa kila ID aliyonayo.
It doesn't make sense in real world,but it does in this abstract world.
 
Hi imekaa ki-kuchunguzana-chunguzana bordeline umbeya na udaku.

Na haiweki maanani ukweli kwamba kuna watu wana stahili kupata Oscars kwa ku-act wasivyo, wanaume wanaoact kama wanawake, wanawake wanaoact kama wanaume, watoto wanao act kama wakubwa na wakubwa wanaoact kama watoto.

Sasa unavyobashiri umri unabashiri umri wa mtu au wa character?

Maana mtu mmoja anaweza kuwa na ID moja ya kitoto, nyingine ya kikubwa.

Hahahaa! Mkuu mawazo yako na mchango wako nnauheshimu!Umepokelewa.
 
Back
Top Bottom