Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuweni makini
nahisi ntaharibiwa muda si mrefu
mie nina 16, please kubalini basi
punguza kidogo!
First lady1 =29
Smile= 27
Bishanga= 35
Kongosho= 28
Lizzy= 32
Jane_000 = 19 🙂lol::lol🙂
siku hizi badala ya kuandika ''SANA'' wao wanaandika ''XANA''na watumiaji wa neno hili ni mabinti...
Upaa sio umri,..hadi namaliza form 6 nilikuwa nao mkubwa kweli kweli.
so bishanga is the oldest here,what makes you think so? acha kunizeeesha bana,Denaaaaa uko wapi kuna mtu hapa anataka nistaafishwe kabla ya muda!
sijajenga!
Sensible! LOL!
Mh.. Umejichakachua Konnie..
spika mwenyewe anasubiri kukopa ndo akajenge,
Hayo uliyoorodhesha hapo juu hayategemi umri peke yake. Kuna jinsia, mazingira aliyokulia, interests/hobby na n.k. Funguka mkuu. Hii topiki uliyoaanzisha ni pana muno kuliko ulivyo ulivyoelezea hapo juu.
kongosho we una umri wa binti aliyevunja ungo mwaka jana.
First lady1 =29
Smile= 27
Bishanga= 35
Kongosho= 28
Lizzy= 32
Jane_000 = 19 🙂lol::lol🙂
Kuna shemale mmoja huku huyo umri wake hauzidi twenties
Hi imekaa ki-kuchunguzana-chunguzana bordeline umbeya na udaku.
Na haiweki maanani ukweli kwamba kuna watu wana stahili kupata Oscars kwa ku-act wasivyo, wanaume wanaoact kama wanawake, wanawake wanaoact kama wanaume, watoto wanao act kama wakubwa na wakubwa wanaoact kama watoto.
Sasa unavyobashiri umri unabashiri umri wa mtu au wa character?
Maana mtu mmoja anaweza kuwa na ID moja ya kitoto, nyingine ya kikubwa.