Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Njoo nikutoe unaangaika na rakim wa nini tomasa na massage za kutosha utasinzia tuuh!

Mi kwani nataka kusinzia basi......mi nataka kwenda kumuona Warda rafiki yangu yupo Abu Dhabi........long time ujue sijamuona.........
 
Lazima nifanye hii halafu moja kwa moja niende hadi kwa mtoto Wema....au Nicki Minaj ivii 😄😃 full.kuchezea sehemu zao za kukalia

nafsi huwa haigusi kitu chochote na ndo maana waweza penyeza had kwenye mlango aiseee hata kama umefungwa sasa katka hal hyo waweza shka kwel hata tak.........o la minaj au wemaa??
 
heb nielekeze jinsi ulvyofanya ww ili kwenda kwenye paralyzed state?

vp mkuu na ww ushawahi kuifanya nn?

Niliwahi kupatwa na hisia hiyo nilipokuwa kwenye deep meditation lakini nilikuwa sijajua chochote kuhusiana na aina ya gani ya experience nimeipata mpaka baadaye nilipokuwa nasoma vitabu na nikagundua ilishanikuta. Niliusahau mwili na sikuuhisi mwili kwa kipindi fulani.
 

saf mkuu bas fanya tenaaaa uende ulaya kwa bill gates ukajifunzeee vitu mbal mbal kuhusiana na microsoft
 
nomal mwili wako uta send signal na utarudi kwa wakat ni vile umelala mtu anakuja kukuamsha just the same like that!@ mzuvendi

Jibu ulotoa sisahihi, pasco kasema; mtu akitokea akausogeza mwili wako hata kwa milimita chache tu,you're gone for good... haya mambo hayafai... mie ntaendelea kuwa layman.
 
Jibu ulotoa sisahihi, pasco kasema; mtu akitokea akausogeza mwili wako hata kwa milimita chache tu,you're gone for good... haya mambo hayafai... mie ntaendelea kuwa layman.

ni kwel mkuu mtu akikusogeza tu kidogo aisee kaharbu kila kitu natavunja ile kitu inayokuvuta
 
daaaaah na mie naitaka hyo hali hv ww umefanya vp mpaka kuwa hali ya kuwa paralyzed?

Mimi hiyo hali ilikuwa inanipata automatic wakati wa usiku hapo mwanzo ila nilikuwa sijui. Nimetambua hapa Jf baada ya kupata mafundisho ya Rakims.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…