Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Ebanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
Mkuu hicho kitu unachotaka kufanya kwa maelezo mengine wanita close to death experience.Unaweza uka rest in peace kabla ya muda wako.Hawa jamaa wanao enda nje ya mwili hawawi wawazi huko wanakoenda mwenyeji wao ni nani?
Kila sehemu kuna wanaotawala ,huwezi toka Tanzania na kuingia Kenya bila kufuata utaratibu unaweza ukaingia matatizoni.Hata katika ulimwengu wa roho kila eneo kuna wanaomiliki na kutawala eneo hilo huwezi pita salama kama hawakujui lazima mtapambana.Waseme leo wenyeji wao ni nani?
 
mkuu wewe ulishawahi kujaribu?... unaweza kunielekeza vizuri kuhusu uenyeji?
 
mkuu wewe ulishawahi kujaribu?... unaweza kunielekeza vizuri kuhusu uenyeji?
Sijawahi na sina mpango,labda itokee kwangu lakini iwe inaongozwa na Mungu maana yake yeye atanipa wa kuniongoza lakin si hii ya kujifanyia kisha unakutana na roho chafu ambazo zinaweza kukudhuru.
 
Ebanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
Ndio ulikuwa unaelekea kuweza. Unafika stage ambayo utahisi hupumui kabisa na ukimya kutawala na hatimaye utaamua utoke ukatalii wapi
 
Ndio ulikuwa unaelekea kuweza. Unafika stage ambayo utahisi hupumui kabisa na ukimya kutawala na hatimaye utaamua utoke ukatalii wapi
Duh! mambo haya si mchezo.
we ulishafanya hivyo ukapata faida gani..?
au kuna nini amaizing kitakuwa faida kwangu..?
 
Duh! mambo haya si mchezo.
we ulishafanya hivyo ukapata faida gani..?
au kuna nini amaizing kitakuwa faida kwangu..?
Bado sijafanikiwa kwa 100%, faida nilizoona ni kuwa na furaha muda wote, nimeongeza umakini kwenye maisha yangu, kuna tabia mbaya na mawazo mabaya nimeweza kucontrol nk.
Kumbuka hii kutoka nje ya mwili ni mojawapo ya mazoezi ya meditation.

Bado najitahidi kijifunza hili zoezi sana maana walimu wangu wananiambia kwamba ukishaweza kutoka nje ya mwili kwa usahihi unajitambua vizuri pia kugundua vipaji vyako na kuichukua nguvu zako.
Yaani kiujumla haya mambo humbadilisha mtu kuwa wa tofauti sana, hata kama ulikuwa mtu wa maugomvi kila siku utashangaa unakuwa mtulivu.
 
Ukifikisha 100% utaniambia ili uwe mwalimu wangu..
napenda maarifa mapya
 
Walimu wako..!!?
Wanapatikana wapi hao walimu mkuu..?
Na mimi natafuta mwalimu..!
Au wewe unaweza kuwa mwalimu wangu pia..!
Me huwa nafikia stage ya mwili kuwa paralysed na kusikia sauti kama ya mawimbi fulani hivi...
Ila nikifikia hiyo stage najikuta naingiwa na UOGA wa ajabu...
Mwisho narudi kwenye hali ya kawaida..!
 
Sijawahi na sina mpango,labda itokee kwangu lakini iwe inaongozwa na Mungu maana yake yeye atanipa wa kuniongoza lakin si hii ya kujifanyia kisha unakutana na roho chafu ambazo zinaweza kukudhuru.
sasa mkuu, kama hujawahi unauhakika upi na suala la uenyeji? unauhakika upi kama hawa wanaofanya hawaongozwi na mungu? unauhakika upi kama utakutana na roho chafu.
#mwisho ni kwamba kama ikitokea kwako utakuwa na uhakika gani kama utakuwa unaongozwa na mungu?... natumaini utanielezea vizuri ndugu!
 
Kuna group fulani whatsapp tunajifunza wengi mkuu, kwa sasa tuko mbali hivyo sidhani kama mwalimu atakubali kukuongeza
 
kama kuna uwezekano wa kujiunga kwenye ilo group la whatts up ningefurahi sana ningejifunza mengi kuhusu astral projection
 
Mshawishi atutengenezee lingine
Ukifikisha 100% utaniambia ili uwe mwalimu wangu..
napenda maarifa mapya
Kwani haiwezekani na sisi tukatengeneza kundi la WhatsApp..!?
Alafu tukawa tunaelekezana..?
Wale wazoefu kidogo wakawa walimu wa wale wanaoanza..?
Jamani tujaribu kushare hii elimu!!!
 
Mm huweza kufanya hayo nikiwa juu ya maji yaan baharin ...huwa nafanya hiv nalala kwa mgongo najiachia mwil ili nisihis kama niko kwenye maji nikajichanganya nafumba macho....basi naweza kulala hata dk30 ikiwa tu maji ya bahar nayo yametulia na bila kuhis kama n mm nakuwa tofaut kabiaa ubongo hauwaz chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…