Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......

Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...

Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....


Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia..

Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...

Njia Hizo Ni:

1; self Astral P...

2: Astral By Binaural


HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU....

1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....

3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...

5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana

8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....


ANGALIZO:

Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....


Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu


By: Rakims
Ndio maana tukilala kwa mgongo huwa tunaota ndoto mbaya.
 
hahahahaaaah...! Si Unaona Mnavyokurupuka? Haya Uzi Wangu Wapi Unaona Nakwambia Unaweka Mkataba Na Shetani?

Jina Unalotumia Bora Ulibadili liwe "Tegemezi" Maana.... mmnh sijui unadamu ya kizushi....

Rakims

Sasa wewe ndiye unayejivua nguo. Uwe unafikiria kwanza kabla ya kumjibu yeyote yule anayehoji mawazo/machapisho yako iwe ni hapa JF ama iwe mahala pengine. Hii itakusaidia sana kupunguza idadi ya watakao kudharau kwa majabu yako yasiyo makini.

Kwenye chapisho/bandiko la kwanza la uzi huu ambao umeuanzisha wewe umemkopi(cc: copy) Pasco akiwa wa kwanza. Kwa namna moja ama nyingine umemkopi huyo na wengine wakupe 'back up', na kuna mawili ulikuwa unahitaji back up kwao ,moja, kama walimu wako ama ,mbili, kama wanafunzi wenzako.

Na Pasco kwa kuitikia wito wako akamwaga nondo zake/zenu hivi:-
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenzi, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.

  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa fungua, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha tuu na kuchange position hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ndio bora zaidi, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za maditation ambazo haziruhusiwa kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi, kama hujui unataka nini, utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do!. Mtu asikudanganye its is not fun!. Too much knowledge is harmful please don't try!.

Pasco
Katika orodha ya masharti aliyotoa katika kufanya hiyo stral projection , sharti namba tano (kama nilivyolikuza na kulipa rangi nyekundu), akaandika kuwa hizi ndizo hatua za kwanza za wachawi. Pasco mnajuana(ulimkopi bandiko lako kwa kuwa mnajuana), ndiyo maana nikasema ninyi ni wamoja ".....si mmesema astral projection ni hatua moja kuelekea kuwekeana mikataba na nguvu za giza(Sheitwani/Devil) !!

Mashambulizi ni lazima watu warudi kwa Muumba wa Mbingu na nchi
."

Wachawi ni vibaraka wa shetwain/devil.
 
mkuu kwakua wewe ni mzoefu wa mambo haya embu tuelezee ni mambo yapi umeyaona huko?

Hamna Kipya Zaidi Ya Kupaa,Kuongezeka Imani Ya Uwepo Wa Mwenyezi Mungu, Kuona Nyumba Za Watu Yani Hakuna Jipya Kile Unachotaka Ufanye Ndio Kinachokuwa Kwenda Popote Duniani Na Kona Zote Zinabako Kichwani Ukienda katika ulimwengu wa mwili tena Hupotei..... na mengine utayaexperience wewe..

mfano kuona watu wanaokuwangia usiku ni hadi u wish ndio maana unaona kuna walokole wananishambulia hapo juu kupoteza point maana watu watawajua what dey capable off....

Rakims
 
Last edited by a moderator:
hahaaah! :thumbdown:

Naomba kuuliza kuwa je ninapo kuwa nime hama nitarudije kuwa katika hali yangu ya kawaida?

Na Je naweza kusafiri kwenda nchi jirani na kukutana na watu nakuongea nao au hata kukaa na wao bila kujua na kufuatilia kile wanacho fanya? Hapa namaanisha naweza kwenda hata sehemu yeyote nikachungulia kile kinacho endelea bila mtu kujua?

Naweza kupita sehemu yoyote hata kama kuna kikwazo mfano get kubwa/Uzio au security ya hali ya juu+cctv camera.

Msaada kwa hilo
 
Naomba kuuliza kuwa je ninapo kuwa nime hama nitarudije kuwa katika hali yangu ya kawaida?

Na Je naweza kusafiri kwenda nchi jirani na kukutana na watu nakuongea nao au hata kukaa na wao bila kujua na kufuatilia kile wanacho fanya? Hapa namaanisha naweza kwenda hata sehemu yeyote nikachungulia kile kinacho endelea bila mtu kujua?

Naweza kupita sehemu yoyote hata kama kuna kikwazo mfano get kubwa/Uzio au security ya hali ya juu+cctv camera.

Msaada kwa hilo

Yote Hayo Yanawezekana Mkuu Hakuna Camera Inayoweza Kupiga Picha Spirit Yako Zaidi Ya Yule Aliekuumba TU...
 
Rakim

Mkuu Rakims, naomba kusisitiza astra projection ni astra projection tuu!, kwa kifupi unafundisha watu kufanya "out of body!"
sijakataa wewe kutoa mafunzo, ila nimekutahadharisha wafundishe hao wanafunzi wako, the consequences za out of body!, hiyo silver cord ni kama utando wa buibui!, mtu ukiwa kwenye out of body, ukitingishwa, inakatika na ndio safari jumla!.

Haya yote ni "power manifestations", wafundishe hao wanaotaka kutoka out of body, wanatoka ili iweje?.

Hizi mambo za out of body ni the highest stages za juu sana na zinafanywa na ma pro tena kwa malengo maalum, naona wewe kama unawafundisha watu humu wafanye astral projection za out of body for fun!.

Kwa wale wasomaji wa uzi huu, nawasisitizia "don't try do anything you real don't know!", usijaribu kufanya jambo usilo linus!. Na kwa wenye nia ya kufanya, kabla hujafanya kitu chochote, lazima kwanza ujiulize "what for", na swali la pili, "do I have to do this?!", yaani unafanya ili iweje?, na jee ni kweli unahitaji kwenda "out of body?!." ili ukafanye mini?!.

Kwa msio jua, hizi ni powers ambazo kila mmoja wetu anazo!, hata bila kufuata maelekezo yoyote ya Rakims, watu wengi hutokewa na "out of body experience" bila wao kujijua na mfano mzuri ni ndoto za majinamizi, wengi hujikuta wanaamka ghafla, wana hema, na wametoka jasho. Kuna ndoto mtu unatoa na kujikuta uko awake kabisa lakini hawezi kutingisha mwili au kupiga kelele, ni katika kule kustrain, ndipo unaamka na kijasho juu huku unahema!.

Wachawi na wanga, kabla hawamchukua mtu, humpiga hiyo ganzi, nyinyi mnamuona kama kalala, kumbe analimishwa usiku kucha!.

Wachawi wote hutumia hii out of body kukutana na kupanga mambo yao, hivyo kwenda out of body bila guidance, una big chances ya ku risk au kukumbwa na wazee wa kupaa usiku ukaenda kufanyiwa initiation za kushiriki zile "karamu zao za usiku", na kuonjeshwa!, ukishaonja tuu!, huachi!.

Angalieni msiwapoteze watu wakajikuta wanaenda kusiko, na mwisho wa siku ni 'ever forward!, no turning back!"

Please watch out na kuweni waangalifu sana!.

Waponyaji wanazitumia nguvu hizi kuponyeshea, na wachawi wanazitumia kulogea!.

Masikini wanashindwa kuzitumia kwa kutojua, na matajiri, wanazitumia kutajirikia!.

Ningefurahi kama mafunzo yangekuwa how to use them to make a difference and not how to use them for fun!, kujifurahishia tuu!.

Pasco
 
Last edited by a moderator:
hahaaah! :thumbdown:

You don't want to believe and I'll respect you for that. There is truth in the word and I believe it. Jesus is the truth. If you want to find fault, go right ahead. You don't get points for looking without really wanting answers.

Wherefore, the ability to come out of your body is diabolical and witches brew.
 
hahahahaaaah nadhan umejua alikuwa anakubeba vipi... anatumia nguvu yako mwenyewe... ndio maana ulivyotimua akatimuka..
Donnie Charlie

kumbe anatumia nguvu yangu mwenyewe??? hapo kuna kitu umenifungua nilikuwa bado kujua, sema wakati nilipokuwa nae ktk mazingira hayo huku nyuma hakuna mtu atakuja kuniamsha hadi nirudi ktk hali ya kawaida.
 
Pasco

Duh!! Mkuu Pasco Asante kwa kunitoa matongotongo. Siku zote nikitokewa na hali hiyo ya majinamizi huwa naconclude ni majini au wachawi wananiwangia, kumbe sivyo!/?

Na siku zote nikilala chali lazima initokee, lakini swali kwanini nikiwasha taa haitokei!?
 
Last edited by a moderator:
Pasco

Nakubaliana kabisa na angalizi muhimu ulilotoa japokuwa siafiki kwamba huu ni ujinga.

hii ni sawa na kumlisha kichanga ugali wakati hata uji hawezi kula.
 
Last edited by a moderator:
Daaah yan hii thread aisee ni nomaa nataman nikamuone best yangu huko mbal anapoishi maana hata mawasiliano ni finyu sanaa zaidi ya sanaa mtoa Uzi ngoja nitakutafuta PM nataman sana hii
 
Duh! Unatisha watu tena.

Nothing is wrong having too much Knowledge the problem is how did you use it.Nje ya hapo leo hii tusingekuwa hapa.
rejea Mr. Tesla

Anyway swali ukiwa nje ya Body yako nini unaweza kufanya na ikawa productive? Maana suala la Uchawi na Wachawi mimi inaniumiza kichwa kwamba hawa watu madai ni kuwa wanaweza kusafiri bila kutumia Mafuta au nishati yoyote ! Sasa kama hilo linawezekana kwanini knowledge hii isitumike kwa manufaa?

CC Pasco
 
Waponyaji wanazitumia nguvu hizi kuponyeshea, na wachawi wanazitumia kulogea!.

Masikini wanashindwa kuzitumia kwa kutojua, na matajiri, wanazitumia kutajirikia!.

Ningefurahi kama mafunzo yangekuwa how to use them to make a difference and not how to use them for fun!, kujifurahishia tuu!.

Pasco


Umegusa sehemu muhimu ! Je wewe katika kuelimika na hii kitu unaweza kujisemea kuwa umenufaika kwa elimu hiyo?
Na je inawezekana kutoa /kujifunza elimu hii hapo Bongo?

 
I respect your viewpoints Rakims, but I'm afraid you're taking allegiance with ignorance and diabolical celestial beings. The article in itself is full with speculation and unfounded assertion.

Your idea is based on your faith beliefs and dogmas, in contrast, your thread is more fiendish and supports witchcraft. My question is: are you open to the possibility that your belief system might be distorted and from not God? 

Jambo usilolijua.............
 
Back
Top Bottom