Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua
25% Ni Watu Wanaoijua
10% Ni Watu Wanaoitumia..
Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili
Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...
Njia Hizo Ni:
1; self Astral P...
2: Astral By Binaural
HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:
NI RAHISI TU....
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana
2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....
4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...
5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)
6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)
7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...
Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?
Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine
9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......
10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
ANGALIZO:
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu
By: Rakims
Ni Sharti Moja Tu Uwe Na Akili Timamu Na Uelewa Maana Sifundishi Watoto Kwenda Kukamata Panzi In Spirit Form...
Acheni kufundisha watu uchawi hapa. Tafadhalini sana jamani mtafanya tuwaone wachawi!.
daaah hivi kwann mie nashndwa kila mara kufanya hvyo heb nipen maelezo kidogo ni wap nakosea hcho mimi ninacho sema nashndwa sasa kutumia toka jana nalala vile lakn sion kinachotokea
MIJU sote tunayataka sema ndo ivo
daaah hivi kwann mie nashndwa kila mara kufanya hvyo heb nipen maelezo kidogo ni wap nakosea hcho mimi ninacho sema nashndwa sasa kutumia toka jana nalala vile lakn sion kinachotokea
Mimi hali ya kuparalyze inanipata ila naogopa kuvisualize na kutoa zile structures ready kwa ajili ya kupata astral body.
Mimi hali ya kuparalyze inanipata ila naogopa kuvisualize na kutoa zile structures ready kwa ajili ya kupata astral body.
mimi sio mtaalam sana mkuu ila uoga nitatizo just say u can do it utaenda vizur na huwezi kufanya mara moja tu ukaweza mazoezi yana hitajika mkuu..
hahahaha acha uoga mkuu ww fanya tu aiseee ,,uende safar ya mbali dadeeeeeki c mchezo ila ndo vile ukicheza mazma unaondoka
mazima hakuna iyo kitu mi siiamini mkuu... tunashauriwa kufanya vile vitu tunavyo viogopa .... misiogopi mkuu
mkuu huamin vp aisee wakat tayar ushaweza kwenda had state ya kuparalyzed aiseee,kama vp jikaze mwl uendelee kuparalyzed had kichwan aiseee ndo unyanyuke
Mkuu Rakims........naomba nieleweshe..........naweza kutoka nikaenda kumtembelea mtu.........?......kuna rafiki zangu nimewamiss halafu wapo mbali.........japo niwaone tu.......maana najua sitaweza kuwaongelesha.............
Njoo nikutoe unaangaika na rakim wa nini tomasa na massage za kutosha utasinzia tuuh!