Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

nomal mwili wako uta send signal na utarudi kwa wakat ni vile umelala mtu anakuja kukuamsha just the same like that!@ mzuvendi
 
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......

Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...

Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....


Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia..

Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...

Njia Hizo Ni:

1; self Astral P...

2: Astral By Binaural


HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU....

1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....

3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...

5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana

8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....


ANGALIZO:

Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....


Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu


By: Rakims

daaaa mie ndo najarbu sahv lakn nashndwaaa,,yan macho yakifka sehem flan yanang'ang'ania kufumbuka yan mpaka nayafumbua tu nwenyewe daaah
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe ni mwanga. Kunasiku utajikuta huwezi kurudi, utaendelea kuzurura huko uchawini kwa muda gani kabla hujaanza kuoza huku?


Ni Sharti Moja Tu Uwe Na Akili Timamu Na Uelewa Maana Sifundishi Watoto Kwenda Kukamata Panzi In Spirit Form...
 
daaah hivi kwann mie nashndwa kila mara kufanya hvyo heb nipen maelezo kidogo ni wap nakosea hcho mimi ninacho sema nashndwa sasa kutumia toka jana nalala vile lakn sion kinachotokea
 
mimi sio mtaalam sana mkuu ila uoga nitatizo just say u can do it utaenda vizur na huwezi kufanya mara moja tu ukaweza mazoezi yana hitajika mkuu..

hahahaha acha uoga mkuu ww fanya tu aiseee ,,uende safar ya mbali dadeeeeeki c mchezo ila ndo vile ukicheza mazma unaondoka
 
hahahaha acha uoga mkuu ww fanya tu aiseee ,,uende safar ya mbali dadeeeeeki c mchezo ila ndo vile ukicheza mazma unaondoka

mazima hakuna iyo kitu mi siiamini mkuu... tunashauriwa kufanya vile vitu tunavyo viogopa .... misiogopi mkuu
 
mazima hakuna iyo kitu mi siiamini mkuu... tunashauriwa kufanya vile vitu tunavyo viogopa .... misiogopi mkuu

mkuu huamin vp aisee wakat tayar ushaweza kwenda had state ya kuparalyzed aiseee,kama vp jikaze mwl uendelee kuparalyzed had kichwan aiseee ndo unyanyuke
 
mkuu huamin vp aisee wakat tayar ushaweza kwenda had state ya kuparalyzed aiseee,kama vp jikaze mwl uendelee kuparalyzed had kichwan aiseee ndo unyanyuke

ku paralyze unaogapa coz unakua unashuhudia tu...ila ukiwa fofo unakua hiyo hali inakuwa ishakutokea na ww huja jua... mandoto yanakujia unapaa n.k sasa hii astra unakua unashuhudia live processes zinavo fanyika so ukifikiria unaona hakuna haja ya kuogopa. ni ku enjoy matrip tu mkuj
 
Mkuu Rakims........naomba nieleweshe..........naweza kutoka nikaenda kumtembelea mtu.........?......kuna rafiki zangu nimewamiss halafu wapo mbali.........japo niwaone tu.......maana najua sitaweza kuwaongelesha.............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rakims........naomba nieleweshe..........naweza kutoka nikaenda kumtembelea mtu.........?......kuna rafiki zangu nimewamiss halafu wapo mbali.........japo niwaone tu.......maana najua sitaweza kuwaongelesha.............

Njoo nikutoe unaangaika na rakim wa nini tomasa na massage za kutosha utasinzia tuuh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom