Bennie 369
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 713
- 534
hivi wakuu hii astral projection unaweza kufanya mambo mazuri na mabaya yote yakakubali?..yaani unaweza ukatoka ukiwa na dhumuni baya mf.kuangalia vitu usivyoruhusiwa kwenye maisha ya kawaida, ukafanikiwa ukarudi?
kabla ya kufanya AP achana na mawazo hasi/negative thoughts hizo zitKufanya uone vitu ambavyo vitakuogopesha na kukufanya urud kwenye physical body fasta, ila swala la kupotelea hukohuko mi siliamin na ww pia naomba huondoe hiyo iman pia.